#LIVE: MTIBWA SUGAR VS MBEYA (0-0) KWANZA, MCHEZO WA KWANZA LIGI KUU TANZANIA BARA
#LIVE: MTIBWA SUGAR VS MBEYA (0-0) KWANZA, MCHEZO WA KWANZA LIGI KUU TANZANIA BARA

#LIVE: MTIBWA SUGAR VS MBEYA KWANZA, MCHEZO WA KWANZA LIGI KUU TANZANIA BARA ......................................................................................................................................... ligi kuu tanzania bara 2020/21 ligi kuu tanzania bara table ligi kuu tanzania bara 2021/22 ligi kuu tanzania bara ratiba ligi kuu tanzania bara fixtures ligi kuu tanzania bara itaanza lini ligi kuu tanzania bara live score ligi kuu tanzania bara msimamo ligi kuu tanzania bara leo ligi kuu tanzania bara app ligi kuu tanzania bara apk ratiba ya ligi kuu tanzania bara april 2021 anaeongoza ligi kuu tanzania bara anaeongoza kwa magoli ligi kuu tanzania bara anayeongoza kwa magoli ligi kuu tanzania bara anae ongoza magoli ligi kuu tanzania bara mchezaji anaelipwa mshahara mkubwa ligi kuu tanzania bara ligi kuu tanzania bara 2019/20 ligi kuu tanzania bara kesho ligi kuu tanzania bara mfungaji bora bingwa ligi kuu tanzania bara msimamo ligi kuu tanzania bara baada ya mechi za leo betexplorer ligi kuu tanzania bara ligi kuu bara tanzania bara wafungaji bora ligi kuu tanzania bara 2018/19 wafungaji bora ligi kuu tanzania bara 2019/20 ratiba ya ligi kuu tanzania bara baada ya corona ligi kuu tanzania bara goal.com www.ratiba ligi kuu tanzania bara.com msimamo wa ligi kuu tanzania bara com tanzania ligi kuu bara classement ligi kuu voda com tanzania bara tanzania ligi kuu bara classificação ratiba ya ligi kuu tanzania bara download timu zilizoshuka daraja ligi kuu tanzania bara timu zilizoshuka daraja ligi kuu tanzania bara 2020 download msimamo wa ligi kuu tanzania bara ratiba ya ligi kuu tanzania bara 2018/19 download usajili wa dirisha dogo ligi kuu tanzania bara www.ligi kuu bara bet explorer ligi kuu tanzania bara ligi kuu tanzania bara flashscore flashscore ligi kuu tanzania bara table football tanzania ligi kuu bara tanzania ligi kuu bara forebet ligi kuu tanzania bara historia ligi kuu tanzania bara leo hii ligi kuu tanzania bara wiki hii msimamo wa ligi kuu tanzania bara hadi sasa historia ya ligi kuu tanzania bara ratiba ya ligi kuu tanzania bara wiki hii mechi za ligi kuu tanzania bara wiki hii msimamo wa ligi kuu tanzania bara 2020 hadi 2021 ligi kuu tanzania bara ilianza lini ligi kuu tanzania bara inaendelea lini ligi kuu tanzania bara imeanzishwa mwaka gani ligi kuu tanzania bara itaendelea lini ligi kuu tanzania bara itarejea lini ratiba ya ligi kuu tanzania bara ikoje timu inayoongoza ligi kuu tanzania bara simba inacheza lini ligi kuu tanzania bara ligi kuu tanzania bara jana matokeo ligi kuu tanzania bara jana ligi kuu tanzania bara leo jumamosi ligi kuu tanzania bara leo jumapili ratiba ya ligi kuu tanzania bara juni 2020 ratiba ya ligi kuu tanzania bara july 2020 matokeo ya ligi kuu tanzania bara leo jumapili mechi za jana ligi kuu tanzania bara ligi kuu bara tz ligi kuu tanzania bara kuanza lini ratiba ligi kuu tanzania bara kesho msimamo wa ligi kuu tanzania bara kwa sasa latiba ya ligi kuu tanzania bara kesho kuhusu ligi kuu tanzania bara kanuni za ligi kuu tanzania bara 2019 pdf kanuni za ligi kuu tanzania bara 2019 msimamo ligi kuu tanzania bara leo ligi kuu vodacom tanzania bara leo msimamo wa ligi kuu tanzania bara v p l ratiba ya ligi kuu tanzania bara v.p.l ligi kuu tanzania bara matokeo ligi kuu tanzania bara msimamo wa ligi ligi kuu tanzania bara mechi za leo ligi kuu tanzania bara matokeo mechi za leo ligi kuu tanzania bara msimamo 2019 ligi kuu tanzania bara msim wa 2020 21 msimama wa ligi kuu tanzania bara ligi kuu tanzania bara 2020 na 2021 msimamo ligi kuu tanzania bara 2019 na 2020 ratiba ya ligi kuu tanzania bara 2019 na 2020 nafasi za ligi kuu tanzania bara msimamo wa ligi kuu tanzania bara 2018 na 2019 naomba ratiba ya ligi kuu tanzania bara ratiba ya ligi kuu tanzania bara mwaka 2020 na 2021 matokeo na ratiba ligi kuu tanzania bara tanzania ligi kuu bara official website anae ongoza ligi kuu tanzania bara orodha ya wafungaji ligi kuu tanzania bara orodha ya mabingwa ligi kuu tanzania bara orodha ya wafungaji bora ligi kuu tanzania bara wanao ongoza kwa magoli ligi kuu tanzania bara ligi tz bara ligi kuu tanzania bara prediction ligi kuu tanzania bara point ligi kuu tanzania bara ratiba premier league ligi kuu ya tanzania bara premier league kanuni za ligi kuu tanzania bara pdf tanzania ligi kuu bara point table kanuni za ligi kuu tanzania bara 2020 pdf ligi kuu tanzania bara ratiba 2021 ligi kuu tanzania bara results ratiba ligi kuu tanzania bara 2019 ratiba ligi kuu tanzania bara 20/21 result ligi kuu tanzania bara ligi kuu tanzania bara standing ligi kuu tanzania bara soccerway ligi kuu tanzania bara statas ligi kuu tanzania bara top scorers msimamo wa ligi kuu tanzania bara sasa simamo ligi kuu tanzania bara simba ligi kuu tanzania bara ligi kuu tanzania bara table 2021 ligi kuu tanzania bara today ligi kuu tanzania bara tpl ligi kuu tanzania bara teble



SIMBA 0-1 YANGA: Alichokisema Zawadi Mauya baada ya kuichapa Simba 1-0 VPL 03/07/2021
SIMBA 0-1 YANGA: Alichokisema Zawadi Mauya baada ya kuichapa Simba 1-0 VPL 03/07/2021

#KariakooDerby. Mfungaji wa bao pekee la Yanga, Zawadi Mauya amefunguka kuhusu goli alilowafunga Simba kwenye mechi ya leo. Sikia walichokisema wachezaji wa Yanga baada ya mechi, mmoja akisema “Akija Rais tu, inakuwa ni nafasi ya Yanga kushinda” FT’: Simba 0-1 Yanga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



UJUMBE MZITO KUTOKA  KWA ONYANGO NA MIQUISSONE WATUMWA KUTOKA AL AHLY
UJUMBE MZITO KUTOKA KWA ONYANGO NA MIQUISSONE WATUMWA KUTOKA AL AHLY

BAADA ya kupokea kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Simba, Kocha Mkuu wa Al Ahly, Pitso Mosimane, ameibuka na kutamka kuwa Simba ilikuwa kwenye ubora zaidi ya wao.Kocha huyo alisema kati ya nyota ambao aliwaona ni hatari kwao ni mfungaji pekee wa bao hilo, Luis Miquissone na beki wa kati, Joash Onyango. Akizungumza na Spoti Xtra, kocha huyo raia wa Afrika Kusini, alisema katika mchezo huo wachezaji wake hawakuwa na kasi anayoifahamu tofauti na wapinzani wao Simba walioonekana kulishambulia goli lao dakika zote tisini. Kocha huyo alisema Simba walitumia vema udhaifu wao na kufanikiwa kupata ushindi huo “Niwe muwazi tu kwa kusema hatukuwa na kasi uwanjani na Simba wakawa bora, hivyo wakatumia vema udhaifu wetu kutudhuru na kufanikiwa kupata pointi tatu dhidi yetu. “Simba walifanikiwa kucheza kwa nguvu na kujilinda vizuri kwa dakika zote 90. Walikuwa makini katika kuokoa mipira yote ya hatari iliyokuwa inafika golini kwao. Wachezaji hatari alikuwa mwenye namba 11 (Luis) na 16 (Onyango),” alisema Mosimane.



MZUKA wa HAJI MANARA Baada ya KUCHUKUA KOMBE  "TUNARUDI Kwenye LIGI, Tumecheza VIZURI"
MZUKA wa HAJI MANARA Baada ya KUCHUKUA KOMBE "TUNARUDI Kwenye LIGI, Tumecheza VIZURI"

MZUKA wa HAJI MANARA Baada ya KUCHUKUA KOMBE "TUNARUDI Kwenye LIGI, Tumecheza VIZURI" Mashindano hayo ambayo yameshirikisha timu tatu ambazo ni Simba wenyeji, Al Hilal na TP Mazembe yalianza Januari 27 ambapo Simba walianza kwenye mchezo wa ufunguzi kwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Al Hilal. Al Hilal ilishinda mabao 2-1 dhidi ya TP Mazembe Januari 29 Uwanja wa Mkapa na kujikusanyia jumla ya pointi tatu huku Mazembe wakiwa na pointi mbili wakiwa nafasi ya tatu. Al Hilal ambao ni mabingwa wa pili pamoja na TP Mazembe wamepewa zawadi zao pamoja na medali Uwanja wa Mkapa. Pia kulikuwa na zawadi ya mchezaji bora ambayo imekwenda kwa Rarry Bwalya huku mfungaji bora akiwa ni Bernard Morrison mwenye mabao mawili. Luis Miquissone alikuwa mchezaji bora wa mchezo wa leo na kipa bora ametoka ndani ya Klabu ya Simba ambaye ni Beno Kakolanya akiwa amecheza mechi mbili na kufungwa bao moja. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



MOBETTO AZUNGUMZIA Alivyoanza KUISHABIKIA SIMBA, KUPATA MADILI ya SIMBA SIO URAFIKI ni KAZI...
MOBETTO AZUNGUMZIA Alivyoanza KUISHABIKIA SIMBA, KUPATA MADILI ya SIMBA SIO URAFIKI ni KAZI...

MOBETTO AZUNGUMZIA Alivyoanza KUISHABIKIA SIMBA na MAKOMBE Waliyochukua Mashindano hayo ambayo yameshirikisha timu tatu ambazo ni Simba wenyeji, Al Hilal na TP Mazembe yalianza Januari 27 ambapo Simba walianza kwenye mchezo wa ufunguzi kwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Al Hilal. Al Hilal ilishinda mabao 2-1 dhidi ya TP Mazembe Januari 29 Uwanja wa Mkapa na kujikusanyia jumla ya pointi tatu huku Mazembe wakiwa na pointi mbili wakiwa nafasi ya tatu. Al Hilal ambao ni mabingwa wa pili pamoja na TP Mazembe wamepewa zawadi zao pamoja na medali Uwanja wa Mkapa. Pia kulikuwa na zawadi ya mchezaji bora ambayo imekwenda kwa Rarry Bwalya huku mfungaji bora akiwa ni Bernard Morrison mwenye mabao mawili. Luis Miquissone alikuwa mchezaji bora wa mchezo wa leo na kipa bora ametoka ndani ya Klabu ya Simba ambaye ni Beno Kakolanya akiwa amecheza mechi mbili na kufungwa bao moja. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



Mwadui FC 1-0 Dodoma Jiji FC | Highlights - VPL 01/01/2021
Mwadui FC 1-0 Dodoma Jiji FC | Highlights - VPL 01/01/2021

Baada ya kuukosa ushindi katika mechi kumi zilizopita, hatimaye Mwadui FC imepata ushindi wake wa kwanza ukiwa ni wa nne kwenye VPL msimu huu, ikiichapa Dodoma Jiji FC bao 1-0. Mfungaji wa bao hilo ambalo ndilo la kwanza kwa mwaka 2021 ni Wallece Kiango dakika ya 87. Tazama Highlights. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Goli la FC Platinum ikiifunga Simba SC 1-0: CAF CL 23/12/2020
Goli la FC Platinum ikiifunga Simba SC 1-0: CAF CL 23/12/2020

PLATINUM 1-0 SIMBA: Tazama goli la FC Platinum ikiifunga Simba SC 1-0, kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo umepigwa National Sports Stadium Harare Zimbabwe, na mfungaji ni Perfect Chikwende. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Football Defending Skills  #Counter Attack Goals Football  #Counter Attack Goals Football  #Russell Westbrook  #Gareth Bale  #Sergio Aguero  #Luis Suarez  #Best Goalkeeper Saves  #Miami Heat  #Kawhi Leonard  

Popular Users

#instagram  #AdamSchefter  #NASA  #britneyspears  #KevinHart4real  #floydmayweather  #alexmorgan13  #oldhossradbourn  #Ky1eLong  #Drake  #rihanna  #kevinlove  #IAmJericho  #YouTube