GOLI LA KWANZA: Ally Bilaly wa Ruvu Shooting ndiye mfungaji wa goli la kwanza la msimu huu wa ligi kuu ya NBC ...
#Mayele na Bangala Watetema Mbele ya Inonga kwa staili ya Kikongoš #yanga #simba #derby #shorts.. @YoungAfricansSCTV Fiston Mayele, mfungaji wa mabao mawili ya Yanga Vs simba #fistonmayele #fistonmayele #dokii #mayele #simba #yanga #kariakooderby #shorts #sportsshorts #globaltv #azizki #bongo movies #tetema #atetema #watetema #yangabingwa
George Mpole amefunga goli lake la 17 dakika ya 11 kwenye ligi kuu msimu huu na kuibuka mfungaji bora katika mchezo huu, ...
George Mpole amefunga goli lake la 17 dakika ya 11 kwenye ligi kuu msimu huu na kuibuka mfungaji bora katika mchezo huu, ...
Yanga SC leo wametangazwa kuwa Mabingwa wapya wa Ligi Kuu baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Coastal Union ya Tanga katika mchezo uliyochezwa Benjamin Mkapa, Yanga ambao waliukosa Ubingwa kwa miaka minne mfululizo wametwaa Ubingwa wao wa 28 leo wakiwa na michezo mitatu mkononi, Yanga leo wamefikisha jumla ya point 67 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote ile hata kama watapoteza michezo yao mitatu iliyosalia, Simba anawafuatia akiwa na point 51 kacheza michezo 25 hata akishinda michezo yote mitano atakuwa na point 66.
MAYELE APEWA NGāOMBE: Ni baada ya Yanga kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Dimba la Manungu mkoani Morogoro. Straika wa Yanga, Fiston Mayele ambaye alikuwa ndiye mfungaji wa bao la pili, amekutana na zawadi ya ngāombe kutoka kwa shabiki Mauya. Hili hapa tukio la makabidhiano, huku Mayele mwenye akitoa neno la shukran.
Ni baada ya kumalizika kwa mechi ya #CAFConfederationCup nchini Niger matokeo yakiwa ni sare ya bao 1-1 kati ya Simba na US Gendarmerie ya huko. Hapa utasikia alichokisema mfungaji wa goli la Simba, Bernard Morrison kuhusu 'vichaa' ndani ya timu hiyo lakini pia maelezo ya kocha wa Simba kuhusu mchezo huo
Subscribe hapa : https://bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : https://bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : https://bit.ly/2XbYro5