Content removal request!


Gendarmerie 1-1 Simba | Vituko vya Morrison na kauli ya kocha Pablo Franco

Ni baada ya kumalizika kwa mechi ya #CAFConfederationCup nchini Niger matokeo yakiwa ni sare ya bao 1-1 kati ya Simba na US Gendarmerie ya huko. Hapa utasikia alichokisema mfungaji wa goli la Simba, Bernard Morrison kuhusu 'vichaa' ndani ya timu hiyo lakini pia maelezo ya kocha wa Simba kuhusu mchezo huo