Mayele afunguka kuhusu madai ya kuwepo Yanga kwa mkopo
Mayele afunguka kuhusu madai ya kuwepo Yanga kwa mkopo

“Nasikia wanasema nilikuwa kwa mkopo Yanga, sio kwa mkopo nina mkataba” sehemu ya maneno ya nyota wa Yanga SC, Fiston Mayele ‘akifunguka’ mengi kumhusu yeye huku akiondoa utata wa madai tofauti. Mayele amefanya mahojiano maalumu na Hasheem Ibwe ndani ya Avic Town



AMEFIKA! AZIZ KI MFALME MPYA YANGA/ATAFANYA MAKUBWA YANGA/MABEKI WAJIPANGE/UBUNIFU JADI YAKE
AMEFIKA! AZIZ KI MFALME MPYA YANGA/ATAFANYA MAKUBWA YANGA/MABEKI WAJIPANGE/UBUNIFU JADI YAKE

Stephen Aziz KI ametambulishwa Rasmi Kuwa Nyota Wa Yanga SC Ikijiunga na Miamba Hiyo ya Soka Nchini Tanzania Akitokea ASEC Mimosas Ya Ivory Coast Tumezungumza na Gharibu Mzinga Mtangazaji na Mchambuzi wa Soka la Bara La Afrika Kutoka Azam TV Ilikufahamu Yanga Wamepata Mchezaji wa Aina Gani Fungua Video Hi Kufahamu Mengi Kuhusu Nyota Huyu Alishika Sana Katika Mitandao ya Kijamii



PART 2: HATMA YA MORRISON SIMBA, KOCHA MPYA ANAYEKUJA, CEO BARBARA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA..
PART 2: HATMA YA MORRISON SIMBA, KOCHA MPYA ANAYEKUJA, CEO BARBARA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA..

PART 2: HATMA YA MORRISON SIMBA, KOCHA MPYA ANAYEKUJA, CEO BARBARA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA.. HII ni sehemu ya pili ya mahojiano maalum ya Global TV na CEO wa Simba, Barbara Gonzalenz, kuhusiana na masuala mbalimbali ya klabu ya Simba, ikiwemo Usajili watakaoufanya, ujenzi wa uwanja wao, kukosa ubingwa msimu huu na mengine mengi. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



BARAKA MPENJA AMVULIA KOFIA MAYELE/"CHICO USHINDI WASIMUACHE ANAJUA BOLI/AZIZ KI NDIO BALAA KABISA"
BARAKA MPENJA AMVULIA KOFIA MAYELE/"CHICO USHINDI WASIMUACHE ANAJUA BOLI/AZIZ KI NDIO BALAA KABISA"

Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Baraka Adson Mpenja, Managing Director wa Mpenja Tv na Senior Commentator Azam Media amefunguka mambo mengi ikiwemo mchezo kati Yanga Sc Dhidi ya Coastal Union Mchezo ambao umewapa Yanga Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC 2021/2022. Fungua Video hii kupata Habari Kamili.... #BarakaMpenja #YangaSc #CoastalUnion #YangaScVsCoastalUnion #MpenjaTv



JIMMY KINDOKI: SIMBA TATIZO NI KOCHA/YANGA WAMEFANIKIWA KWENYE MAENEO MENGI
JIMMY KINDOKI: SIMBA TATIZO NI KOCHA/YANGA WAMEFANIKIWA KWENYE MAENEO MENGI

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV KOCHA WA SARATOGA, JIMMY KINDOKI amechambua mwenendo wa timu ya Simba na ...



AHMED ALLY: "AZAM/YANGA DHAIFU MBELE YA SIMBA/TUNAWAPELEKEA PUMZI YA MOTO KWAO WAKAZURURE NA IRIZAR
AHMED ALLY: "AZAM/YANGA DHAIFU MBELE YA SIMBA/TUNAWAPELEKEA PUMZI YA MOTO KWAO WAKAZURURE NA IRIZAR

Meneja Habari na Wasiliano wa Simba SC Ahmed Ally Amefunguka Maandalizi ya Kikosi Hicho Huku akitanabaisha Wazi kuwa Azam FC Ni dhaifu Mbele Yao na watazichukua Alama Tatu Ugenini Fungua Video Hi Kushuhudia Mahojiano Maalumu na Ahmed Ally Ambaye Amefunguka Mengi Kuelekea Mchezo wa Mzizima Dabi Kati Ya Azam FC na Simba SC #MpenjaTV #SimbaSC #AhmedAlly #SemajiLaCAF #SemajilaSimba



PELA VAGA NA CHAMPIONS DEU TOTTENHAM 3 X 0 ARSENAL! REAL GOLEIA LEVANTE COM HAT-TRICK DE VINI JR
PELA VAGA NA CHAMPIONS DEU TOTTENHAM 3 X 0 ARSENAL! REAL GOLEIA LEVANTE COM HAT-TRICK DE VINI JR

PELA VAGA NA CHAMPIONS DEU TOTTENHAM 3 X 0 ARSENAL! REAL GOLEIA LEVANTE COM HAT-TRICK DE VINI JR Nesta quinta-feira (12/05/2022) o Tottenham goleou o Arsenal por 3 a 0 e diminuiu a distância do rival pela vaga na próxima Liga dos Campeões. Harry Kane marcou duas vezes um dos gols foi de pênalti (Cédric Soares derrubou Son na área) e o Son marcou o terceiro se aproximando ainda mais do Salah que é o artilheiro da Premier League atualmente. O Arsenal foi bastante prejudicado pela expulsão do Holding logo aos 33 minutos. O Gabriel Magalhães saiu lesionado o que preocupa não só o Arteta, mas também o Titê já que o zagueiro foi convocado pra defender o Brasil na próxima data FIFA. Lucas Moura completou 200 jogos pelos sprus. No Real Madrid 6 x 0 Levante teve o primeiro hat-trick de Vinícius Jínior com a camisa merengue, Rodrygo, Mengy e Benzema completaram a goleada e o francês chegou aos 323 gols pelos blacos igualando o Raúl e agora só perde pro Cristiano Ronaldo em gols marcados pelo Real. Ancelotti escalou no ataque Rodrygo, Benzema e Vini, será que veremos esse trio contra o Liverpool no dia 28/05 na final da Champions? #championsleague #realmadrid #benzema PELA VAGA NA CHAMPIONS DEU TOTTENHAM 3 X 0 ARSENAL! REAL GOLEIA LEVANTE COM HAT-TRICK DE VINI JR Link do vídeo: https://youtu.be/EMN0BS-l9Io tottenham 3 x 0 arsenal, tottenham 3 x 0 arsenal gols, tottenham 3 x 0 arsenal melhores momentos, penalti son, penalti cedric son gol penalti kane, gols harry kane, gol son, faltas holding son, holding expulsao, real madrid 6 x 0 levante, real madrid 6 x 0 levante gols, melhores moemntos, real x levante, hat-trick vinicius junior, vinicius junior vs levante, real madrid x liverpool, final champions 2022, final liga dos campeoes 2022,



KAPOMBE AJIBU KWA NINI  SIMBA WANAPATA TABU - "MAANDALIZI YA MCHEZO NI YA MUDA MFUPI"..
KAPOMBE AJIBU KWA NINI SIMBA WANAPATA TABU - "MAANDALIZI YA MCHEZO NI YA MUDA MFUPI"..

KAPOMBE AJIBU KWA NINI SIMBA WANAPATA TABU - "MAANDALIZI YA MCHEZO NI YA MUDA MFUPI".. DAKIKA 90 za mtanange wa kukata na shoka kati ya Simba SC dhidi ya Kagera Sugar zimekamilika katika Dimba la Mkapa kwa wekundu wa msimbazi kuwachakaza walima miwa bao 2 - 0. Global TV imezungumza na mchezaji wa Simba SC, Shomari Kapombe ambaye amefunguka mengi kuhusiana na mchezo huo.. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline




« Previous Next »


Popular Tags

#Boston Celtics  #Kawhi Leonard  #Cristiano Ronaldo  #Russell Westbrook  #Best Goals  #Russell Westbrook  #Neymar  #Allen Iverson  #Sergio Aguero  #Stephen Curry  

Popular Users

#ArianFoster  #Ky1eLong  #OleksiakPenny  #BrunoMars  #tigerwoods  #Buster_ESPN  #normmacdonald  #kevinlove  #imVkohli  #CP3  #rioferdy5  #justinbieber  #Buccigross  #shakira  #incarceratedbob