“Nasikia wanasema nilikuwa kwa mkopo Yanga, sio kwa mkopo nina mkataba” sehemu ya maneno ya nyota wa Yanga SC, Fiston Mayele ‘akifunguka’ mengi kumhusu yeye huku akiondoa utata wa madai tofauti. Mayele amefanya mahojiano maalumu na Hasheem Ibwe ndani ya Avic Town