SIMBA SC vs MBAO FC LEO
SIMBA SC vs MBAO FC LEO

Kabla ya Mechi SIMBA SC vs MBAO FC leo

FT: SIMBA 3-0 MBAO FC, Mashabiki Wajitokeza Jamhuri Moro
FT: SIMBA 3-0 MBAO FC, Mashabiki Wajitokeza Jamhuri Moro

#SimbaSC Vs MbaoFC Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars DAKIKA 90 za mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba na Mbao zimekamilika uwanja wa Jamhuri, Morogoro, kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0. John Bocco alianza kufunga bao la kuongoza kwa Simba dakika ya 24 akimalizia faulo iliyopigwa na Mohamed Hussein. Bocco alipachika bao la pili kwa Simba kwa mkwaju wa penalti baada ya mchezaji wa Mbao FC, Peter Mwangosi kunawa mpira uliopigwa na Mzamiru Yassin dakika ya 58. Meddie Kagere alipachika bao la tatu kwa Simba baada ya beki wa Mbao kumchezea rafu Kagere eneo la hatari na mwamuzi kutoa penalti iliyopigwa na Kagere dakika ya 79. Simba leo wameanzisha jeshi lao kamili huku mlinda mlango namba moja Aishi Manula akiwa ameanzia benchi akimtazama Deogratius Munish. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars

Tshabalala, Patrick Aussems Mbao Fc HAWATOKI kwa Simba Sc Jamuhuri leo
Tshabalala, Patrick Aussems Mbao Fc HAWATOKI kwa Simba Sc Jamuhuri leo

Tshabalala, Kocha Patrick Aussems Mbao Fc hatoki kwa Simba Sc Jamuhuri leo #Tshabalala #PatrickAussems #KochaPatrickAussems

Simba 3-0 Mbao FC | Mashabiki wa Simba Morogoro
Simba 3-0 Mbao FC | Mashabiki wa Simba Morogoro

#simbavsmbao #mashabikiSimba #jamhuriMorogoro #ligikuu

AFRICAN LYON 1-1 JKT TANZANIA; FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 05/03/2019)
AFRICAN LYON 1-1 JKT TANZANIA; FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 05/03/2019)

African Lyon wameendelea kupoteza matumaini ya kusalia ligi kuu Tanzania Bara baada ya leo kulazimishwa sare ya bao 1-1 na JKT Tanzania, katika mchezo uliopigwa kwenye Dimba l Uhuru Dar es Salaam. Wageni JKT ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 45 kupitia kwa Hassan Mwaterema kabla ya Hood Mayanja aliyeingia dakika ya 72, kuisawazishia Lyon dakika ya 75. Kwa matokeo hayo JKT Tanzania imepanda kutoka nafasi ya tisa hadi ya sita ikiwa na pointi 36 sawa na Mbao FC pamoja na Alliance FC huku African Lyon ikiendelea kusalia mkiani mwa msimamo wa ligi ikiwa na pointi 22.

MAGOLI: AFRICAN LYON 1-1 JKT TANZANIA (TPL - 05/03/2019)

« Previous Next »

Popular Tags

#Boston Celtics  #Thomas Muller  #Tristan Thompson  #Amazing Solo Goals  #Miami Heat  #Stephen Curry  #Shot Goals  #Zlatan Ibrahimovi  #Zlatan Ibrahimovi  #Best Goals  

Popular Users

#richarddeitsch  #britneyspears  #sportspickle  #itsBayleyWWE  #nytimes  #TheEllenShow  #BringerOfRain20  #JoelEmbiid  #SteveNash  #WWE  #hunterpence  #LarryFitzgerald  #BellaTwins