LEO NI:- Mbao FC vs Kagera Sugar Mbeya City vs Ruvu Shooting. Namungo vs Mwadui FC JKT Tanzania vs Mtibwa Sugar
Shabiki wa MBAO FC Aangua KILIO Hadharani "Mama Yangu Weeee" Timu ya Mbao FC ya jijini Mwanza imefanikiwa kubaki kwenye i kuu bara baada ya kutoa sare ya bao 1-1 dhidi ya Kagera Sugar, katika Mchezo uliochezwa leo katika dimba la CCM Kirumba Jijini humo. #MBAOFC #LIGIKUUBARA Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
UCHAMBUZI: Mwalimu KASHASHA "Simba Wanacheza Mpira wa Majukwaa" Mchambuzi wa Masuala ya Michezo mwalimu Alex Kashasha amechambua mechi ya Simba VS Mtibwa Sugar katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam simba ikiibuka na ushindi wa mbao 3-0. Ushindi huo unairejesha Simba kileleni kwa kuishuhsa Yanga ambayo ilikuwa kileleni baada ya kufikisha jumla ya pointi 83 huku Simba ikifikisha jumla ya pointi 85. Simba wanafikisha jumla ya pointi 84 wakiwa wamefunga jumla ya mabao 72 huku kinara wa upachikaji wa mabao akiwa ni Meddie Kagere mwenye mabao 20 kwa sasa ligi kuu Bara. Simba imebakiwa na michezo minne ili kukamilisha mzunguko wa pili msimu huu ambapo mpaka sasa wamebakiza pointi tano ili kuweza kutetea ubingwa wao. #SIMBAVsMTIBWA #MWALIMUKASHASHA https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Timu ya Mwadui FC ya mkoani Shinyanga imelazimishwa sare ya bao 3-3 na Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Mwadui Complex mkoani humo. Mbao FC ndiyo waliotangulia kupata mabao 2-0 hadi kipindi cha kwanza kinamalizika lakini wenye Mwadui wakapindua matokeo na kupata mabao matatu, kabla ya Mbao kurejea tena mchezoni na kusawazisha. Mabao ya Mbao FC yamfungwa na Abubakar Ngalema dakika ya 35, Said Hamis Jr dakika ya 44 na Hamim Abdulkarim dakika ya 86 wakati mabao ya Mwadui yakifungwa na Leonard Bhoke dakika ya 46, Gerard Mathias Mdamu dakika ya 58 na Ottu Joseph dakika ya 69. Matokeo haya yanazifanya timu zote mbili kugawana pointi ambapo Mbao wamefikisha pointi 44 na kukaa nafasi ya kumi baada ya kucheza mechi 36 huku Mwadui wakifikisha pointi 38 katika mechi 36 na kusalia nafasi ya 19.

Timu ya African Lyon ya Jijini Dar es Salaam, imeshuka rasmi daraja na sasa itakwenda kucheza Ligi Daraja la Kwanza baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa Mbao FC kwenye dimba la Uhuru Jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo wa 34 wa Ligi Kuu kwa African Lyon, magoli ya wageni Mbao FC yamefungwa na Evageristus Mujwahuki dakika ya 3, Pastory Athanas dakika ya 27 na Said Hamis Said Jr dakika ya 40 kwa mkwaju wa penati. Magoli ya wenyeji African Lyon yamefungwa na Adili dakika ya 8 kwa penati na Said Mtikila dakika ya 72. Lyon imebaki mkiani ikiwa na alama 22, hivyo kushuka daraja rasmi kwani hata ikishinda mechi zake zote nne zilizosalia, haiwezi kuifikia Mwadui FC ambayo ndiyo iliyo juu yake ikiwa na pointi 37.