Kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Mbao FC imepata ushindi wa bao 1-0, likifungwa na beki wake Yakubu Mohamed dakika ya 15, huku Mbao wakipoteza mkwaju wa penati kupitia kwa Wazir Jr.