Leo Novemba 28, 2023, Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi Kocha mkuu mpya, Abdelhak Benchikha, raia wa Algeria na kumpa nafasi ya kuzungumza na Waandishi wa Habari. Kocha Benchikha amewaasa mashabiki na Wanachama wa Simba kumuunga mkono ili kufikia malengo katika mashindano mbalimbali.
Pata habari na uchambuzi mbalimbali wa kimichezo, ligi kuu ya soka Tanzania bara, mashindano ya Azam, klabu bingwa barani Afrika, Simba timu pekee ukanda wa CECAFA inawakilisha wakati Yanga wakiwakilisha kwenye michuano ya Shirikisho Afrika. #cafconfiderationcup #sports #football #live #simbasc #nbcpremierleague #africasuperleague #jehova #jesus #christmas #jerusalem #prophetess #bbc #bbcnews #israel #fifaworldcup #fifa #cafchampionsleague #basketball #marathon #online #tbc
Tumefanya usajili mkubwa sana kupitia dirisha kubwa la usajili mwaka huu na ukweli ni kuwa miongoni mwa sababu kubwa ni ushiriki wetu wa mashindano mbalimbali ikiwamo ya AFL, tumejipanga kushindana katika michuano yote mikubwa kufikia malengo yetu -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #zambia #powerdynamos
Kuelekea mchezo Wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika JKU dhidi ya Singida Fountain Gate FC Makocha na Wachezaji ...
Pata habari na uchambuzi mbalimbali wa kimichezo, ligi kuu ya soka Tanzania bara, mashindano ya Azam, klabu bingwa barani ...
Pata habari na uchambuzi mbalimbali wa kimichezo, ligi kuu ya soka Tanzania bara, mashindano ya Azam, klabu bingwa barani ...
Pata habari na uchambuzi mbalimbali wa kimichezo, ligi kuu ya soka Tanzania bara, mashindano ya Azam, klabu bingwa barani ...