#LIVE: AHMED ATEMA BUNGO AKUBALI MZIKI WA YANGA WASHABIKI WAVURUGWA TENA
#LIVE: AHMED ATEMA BUNGO AKUBALI MZIKI WA YANGA WASHABIKI WAVURUGWA TENA

Pata habari na uchambuzi mbalimbali wa kimichezo, ligi kuu ya soka Tanzania bara, mashindano ya Azam, klabu bingwa barani Afrika, Simba timu pekee ukanda wa CECAFA inawakilisha wakati Yanga wakiwakilisha kwenye michuano ya Shirikisho Afrika. #cafconfiderationcup #sports #football #live #simbasc #nbcpremierleague #africasuperleague #jehova #jesus #christmas #jerusalem #prophetess #bbc #bbcnews #israel #fifaworldcup #fifa #cafchampionsleague #basketball #marathon #online #tbc

🔴LIVE: MUDA HUU RAIS WA YANGA ALIA NA V.A.R GOLI LA AZIZ KI ATOA NENO HILI YANGA IKITOKA

Mzinga achambua balaa la Mamelodi wakiwa kwao | Awapa tahadhari Yanga | Naiona nusu fainali CAFCL
Mzinga achambua balaa la Mamelodi wakiwa kwao | Awapa tahadhari Yanga | Naiona nusu fainali CAFCL

Mchambuzi wa Soka, Gharib Mzinga ametoa mtazamo wake kuhusu mechi ya marudiano hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo Mamelodi Sundowns itacheza nyumbani dhidi ya Yanga Aprili 05, 2024 nchini Afrika Kusini. Gharib amesema Yanga inabidi iwe makini zaidi na eneo la kiungo la wapinzani wao kwa sababu linaonekana kuwa ni hatari zaidi wanapotafuta bao. Pia amegusia rekodi ya Mamelodi Sundowns katika mechi tano za mwisho kwenye mashindano hayo wakiwa nyumbani kwao. Je, unakubaliana na mtazamo wa Gharib Mzinga✍️? #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Tazama Kabito Alivyoonyesha Umwamba Wake Na Kuibuka Mshindi Wa Pili Mashindano Makubwa Ya Africa
Tazama Kabito Alivyoonyesha Umwamba Wake Na Kuibuka Mshindi Wa Pili Mashindano Makubwa Ya Africa

#QiblateinOnline Follow Us On: INSTAGRAM: https://www.instagram.com/qiblatein_onlinetv/ FACEBOOK; https://www.facebook.com/profile.php?id=100088547380966 YOUTUBE; https://www.youtube.com/channel/UCU9pzPTs9n65o0lhkx6QizQ

MAZUNGUMZO YA MPENJA NA MZINGA;NILIFELI KIDATO CHA NNE/YANGA NA SIMBA ZINA UWEZO WA KUFIKA FAINALI
MAZUNGUMZO YA MPENJA NA MZINGA;NILIFELI KIDATO CHA NNE/YANGA NA SIMBA ZINA UWEZO WA KUFIKA FAINALI

Mtangazaji kinara wa soka nchini, Baraka Mpenja, amefanya mazungumzo na Mtangazaji wa soka wa Azam Media LTD, Gharib Mohamed Ally Mzinga kuhusu Maisha yake ya nyuma lakini pia ikumbukwe leo ni kumbukizi ya kuzaliwa ya Mtangazaji machachari wa Soka Ghalibu Mzinga. Lakini pia Ghalibu mzinga ametoa mtazamo wake katika mechi ya ligi ya mabingwa Afrika kati ya Simba na Yanga kuwa zinaweza kufika hatua ya fainali katika mashindano hayo.

GEOF LEA:AWACHOMOLEA BETRI YANGA/ DHARAU KUINGIZA MASHABIKI BURE/MAMELODI, AL AHLY KUFUNGWA NI NDOTO
GEOF LEA:AWACHOMOLEA BETRI YANGA/ DHARAU KUINGIZA MASHABIKI BURE/MAMELODI, AL AHLY KUFUNGWA NI NDOTO

Mchambuzi wa soka Geof Lea aweka bayana maandalizi ya timu zinazowakilisha kimataifa kwenye mashindano ya klabu bingwa afrika Simba na Yanga kuwa na nafasi ndogo sana kufuzu nusu fainali huku akiamini kuwa mamelodi na al ahly wapo vizuri #singidafountaingate #yangatv #wcb #yangasc #diamond #simbatv #simbatv #kingmusicofficial #simbasc #live #yangasc #wcb #yangatv #singidafountaingate #kondegang #kondegang #singidafountaingate #wcb #diamond #live #diamond #simbatv #simbasc #yangasc #yangatv #singidafountaingate #kondegang #yangatv #yangasc #simbatv #simbasc #simbasc #live #diamond #yangasc #wcb #yangatv #singidafountaingate #kondegang

🔴#Live:TANZANIA ( 0 ) vs DR CONGO ( 0 ) - HATUA YA MAKUNDI MASHINDANO AFCON 2023/2024....
🔴#Live:TANZANIA ( 0 ) vs DR CONGO ( 0 ) - HATUA YA MAKUNDI MASHINDANO AFCON 2023/2024....

Live:TANZANIA ( 0 ) vs DR CONGO ( 0 ) - HATUA YA MAKUNDI MASHINDANO AFCON 2023/2024.... KARIBU KUSIKILIZA NA ...

🔴#Live: TANZANIA vs DR CONGO - MASHINDANO ya AFCON - JE TAIFA STARS KITAELEWEKA KWELI LEO??
🔴#Live: TANZANIA vs DR CONGO - MASHINDANO ya AFCON - JE TAIFA STARS KITAELEWEKA KWELI LEO??

Live: TANZANIA vs DR CONGO - MASHINDANO ya AFCON - JE TAIFA STARS KITAELEWEKA KWELI LEO??...| UCHAMBUZI.

Next »

Popular Tags

#Football Defensive Skills  #Stephen Curry  #Goalkeeper Saves  #James Harden  #Best Ball Controls  #LeBron James  #Best Goals Ever  #Gareth Bale  #Zlatan Ibrahimovi  #Best Goalkeeper Saves  

Popular Users

#TheCUTCH22  #realDonaldTrump  #darrenrovell  #MieshaTate  #itsBayleyWWE  #kobebryant  #mcuban  #RSherman_25  #espn  #geniebouchard  #NiallOfficial  #SteveNash  #ddlovato  #nytimes