KIMENUKA HAJI MANARA AMJIBU FEI TOTO AVUJISHA SAUTI FEITOTO AKIFUNDISHWA KUIONGELEA MABAYA YANGA SC!
KIMENUKA HAJI MANARA AMJIBU FEI TOTO AVUJISHA SAUTI FEITOTO AKIFUNDISHWA KUIONGELEA MABAYA YANGA SC!

KIMENUKA HAJI MANARA AVUJISHA SAUTI FEI TOTO AKIFUNDISHWA NAMNA YA KUIONGELEA YANGA KWA MABAYA LEO!!In @mangekimambi_ voice,,Fei achafua hali ya hewa,, Mungu huwa na sababu zake hadi kuwezesha hii Clip kuvuja, Feisal na Meneja wake wakifundishana jinsi ya kujibu uongo. Eti Ugali na Sukari alikula Yanga wakati wa utawala uliopita na sio sasa,hivi Kuna Mtu nchi hii anakula Ugali na Sukari? Ipo Club inafanya hivyo nchini? Meneja unadiriki kumfundisha huyo Mtoto aseme uongo ili udhalilishe watu? Mara Msola mzuri mara utawala wake ulimlisha Ugali na Sukari? Hivi unapomfundisha kuwa Hersi @caamil_88 alimyanyasa, kwa nini husemi hayo manyanyaso? Mmemuingiza chaka huyu dogo lakini ioo siku fahamu zitamrudia na atakuja kuwachukia maisha yenu yote. Hivi mshajua kwa nini hizo Sauti zenu zimavuja? Ni Mungu huyo kataka kuwadhalilisha, halaf mmeenda Makka kuhiji? Hijja gani mnayo wakati mnafundishana dhulma ya kuwachafua wenzenu Hakuna Taqwa hapo na Mungu kawaumbua Kweupeeee,,Bad luck mmevujisha wenyew bila kujijua,,Na Sisi tunapeleka hii Clip CAS kama kielelezo cha nia ovu ya tamaa ya wanaomzunguka ktk kulazimisha kuvunja mkataba,, Hata ile michongo kumbe ni gia tu ya kujipatia pesa,,Kiko wapi sasa? Mmemuona Mungu alivyo Mtukufu? Asante sana Muumba wetu,,🙏🏻🙏🏻 #hajimanara #feisal #feisalsalum #feitoto #yangasc #yangasc



#LIVE YANGA YAZIDI KUDIDIMIZA MATUMAINI YA REAL BAMAKO |  FEI TOTO ATUA MAKKA
#LIVE YANGA YAZIDI KUDIDIMIZA MATUMAINI YA REAL BAMAKO | FEI TOTO ATUA MAKKA

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani BONYEZA LINK ...



Bayern Munich vs FC Barcelona  | Tamil commentary | Watchalong | LIVE | UEFA Champions League
Bayern Munich vs FC Barcelona | Tamil commentary | Watchalong | LIVE | UEFA Champions League

Enjoy the watch along of Bayern Munich vs FC Barcelona in the UEFA Champions League with the Football Makka Family. Allianz ...



🔴LIVE Bangladesh vs West Indies | 2nd ODI Live | বাংলাদেশ বনাম ওয়েস্ট ইন্ডিজ খেলা | Sonali Tv LIVE
🔴LIVE Bangladesh vs West Indies | 2nd ODI Live | বাংলাদেশ বনাম ওয়েস্ট ইন্ডিজ খেলা | Sonali Tv LIVE

🔴LIVE Bangladesh vs West Indies | 2nd ODI Live | বাংলাদেশ বনাম ওয়েস্ট ইন্ডিজ খেলা | Sonali Tv LIVE #বাংলাদেশ_বনাম_ওয়েস্ট_ #Bangladesh_vs_West_Indies #Live_cricket #Sonali_Tv



Sandy Master shows his Football Skills🔥⚽️💥
Sandy Master shows his Football Skills🔥⚽️💥

Met Sandy master at the final of Football Makka's Porkalam final 2022. He showed his football skills and I showed mine too!





Popular Tags

#Philadelphia 76ers  #Chris Paul  #Paul George  #Luis Suarez  #Best Champions League  #Counter Attack Goals Football  #Best Goals  #Paul Pogba  #Shaquille O'Neal  #James Harden  

Popular Users

#oldhossradbourn  #incarceratedbob  #jimmyfallon  #billsimmons  #Buccigross  #strombone1  #katyperry  #lindseyvonn  #shakira  #si_vault  #Buster_ESPN  #darrenrovell  #ArianaGrande  #CP3  #ladygaga