IDDY NADO MWAMBA HUYU HAPA/"NAFASI YA 3 TUNAITAKA/TUTAPAMBANA/KOCHA AMENISAIDIA"
IDDY NADO MWAMBA HUYU HAPA/"NAFASI YA 3 TUNAITAKA/TUTAPAMBANA/KOCHA AMENISAIDIA"

Leo April 07, 2023 Klabu ya Azam Fc inashuka Dimbani majira ya saa 21:00 Usiku kuminyana na Mtibwa Sugar kutoka Morogoro ...

KOCHA MTIBWA SUGAR AKUBALI AZAM NI BORA/"WALITUZIDI/HATUKUCHEZA VIZURI/LIGI BADO INAENDELEA"

AHMED ALLY APAGAWA NA JEAN BALEKE/"HUYU NI FUNDI WAKUFUNGA/AMECHELEWA/ANGEKUWA NA GOLI 50"
AHMED ALLY APAGAWA NA JEAN BALEKE/"HUYU NI FUNDI WAKUFUNGA/AMECHELEWA/ANGEKUWA NA GOLI 50"

Leo tarehe 07/04/2023 ni Siku kubwa kwa Wana Michezo Tanzania hususani upande wa Soka ambapo kunapigwa Mchezo wa hatua ya Robo Fainali Kombe la Azam Sports Federation Simba dhidi ya Ihefu, Mshindi anakwenda Nusu Fainali kukutana na Azam FC. Mchezo huu unapigwa majira ya saa moja kamili za Usiku kwenye Dimba la Azam Complex. Mpenja Tv tumefika mapema kukuhabarisha kabla na baada ya Mchezo.

PASCAL KABOMBE: "ALGERIA WAMESHAFUZU/KUFA KUPONA UGANDA NA TANZANIA/LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA"
PASCAL KABOMBE: "ALGERIA WAMESHAFUZU/KUFA KUPONA UGANDA NA TANZANIA/LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA"

Leo hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Majira ya Saa 2:00 Usiku itachezwa Mechi ya Kusaka Tiketi ya Kufuzu Michuano ya ...

KOCHA UGANDA AWEKA WAZI ALIPOIZIDI STARS/"MECHI 3 BILA UGANDA KUFUNGA GOLI NI NGUMU/BADO TUNA NAFASI

AHMED ALLY: "NITALIA SANA GOLI 7 NI NYINGI/MECHI YETU NA RAJA TUNAOMBA CAF WAIFUTE/REKODI AFRIKA
AHMED ALLY: "NITALIA SANA GOLI 7 NI NYINGI/MECHI YETU NA RAJA TUNAOMBA CAF WAIFUTE/REKODI AFRIKA

Moto Utawaka Uwanja wa Benjamin Mkapa ni Mchezo Mkubwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba Sc dhidi ya Horoya AC Majira ya Saa 1:00 Jioni. Mpenja Tv tunahakikisha tunakuletea Mfululizo wa Matukio yote yanayohusu Mechi hiyo Kabla na Baada ya Mechi.

BAADA YA SARE NA SIMBA SC/ AZAM FC KUCHEZA NA KMC/“TUNA MLIMA MREFU/UBINGWA SIO RAHISI”
BAADA YA SARE NA SIMBA SC/ AZAM FC KUCHEZA NA KMC/“TUNA MLIMA MREFU/UBINGWA SIO RAHISI”

Kivumbi cha Ligi Kuu ya NBC kinaendelea na Hapo kesho kwenye Uwanja wa Chamazi Complex Majira ya Saa 1:00 Jioni Azam ...

ALLY KAMWE: "KAMA YULE KOCHA ANGEKUWA WA YANGA TUNGEKUWA TUNAMKUTA UBUNGO"/HATUENDI KUPAKI BASI MALI
ALLY KAMWE: "KAMA YULE KOCHA ANGEKUWA WA YANGA TUNGEKUWA TUNAMKUTA UBUNGO"/HATUENDI KUPAKI BASI MALI

Kivumbi cha Ligi Kuu ya NBC kinaendelea Leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Majira ya Saa 10:00 Jioni ni kati ya KMC Fc na Yanga Sc. Na haya ni Matukio yote yanayohusu Mechi hiyo.

« Previous Next »

Popular Tags

#Kawhi Leonard  #Stephen Curry  #LeBron James  #Michael Jordan  #Allen Iverson  #New York Knicks  #Tristan Thompson  #Russell Westbrook  #Best Ball Controls  #LeBron James  

Popular Users

#SportsCenter  #BMcCarthy32  #LAKings  #CNN  #MileyCyrus  #TheEllenShow  #geniebouchard  #J_No24  #Kaepernick7  #MikePereira  #lindseyvonn  #BaileyLAKings  #MichelleDBeadle  #MieshaTate