Content removal request!


ALLY KAMWE: "KAMA YULE KOCHA ANGEKUWA WA YANGA TUNGEKUWA TUNAMKUTA UBUNGO"/HATUENDI KUPAKI BASI MALI

Kivumbi cha Ligi Kuu ya NBC kinaendelea Leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Majira ya Saa 10:00 Jioni ni kati ya KMC Fc na Yanga Sc. Na haya ni Matukio yote yanayohusu Mechi hiyo.