AHMED ALLY APAGAWA NA JEAN BALEKE/"HUYU NI FUNDI WAKUFUNGA/AMECHELEWA/ANGEKUWA NA GOLI 50" by @Mpenja TV - Post Details

AHMED ALLY APAGAWA NA JEAN BALEKE/"HUYU NI FUNDI WAKUFUNGA/AMECHELEWA/ANGEKUWA NA GOLI 50"

Leo tarehe 07/04/2023 ni Siku kubwa kwa Wana Michezo Tanzania hususani upande wa Soka ambapo kunapigwa Mchezo wa hatua ya Robo Fainali Kombe la Azam Sports Federation Simba dhidi ya Ihefu, Mshindi anakwenda Nusu Fainali kukutana na Azam FC. Mchezo huu unapigwa majira ya saa moja kamili za Usiku kwenye Dimba la Azam Complex. Mpenja Tv tumefika mapema kukuhabarisha kabla na baada ya Mchezo.

Similar Posts!