Yanga imeichakaza Stand United kutoka Championship mabao 8-1, manne yakitoka kwa Stephane Aziz Ki.... ukiwa ni mchezo wa robo fainali Kombe la Shirikisho la CRDB Bank uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Magoli mengine yametoka kwa Clatous Chama aliyefunga mawili, Nickson Kibabae goli la pili na Kennedy Musonda goli la nane..... Goli la kufutia machozi kwa Stand United limefungwa na Msenda Senda dakika ya 49. Haya hapa magoli yote tisa...
Yanga SC imelipa kisasi kwa kuitandika Azam FC mabao 2-1 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi Dar es Salaam.... Yanga imepata mabao yake yote mawili kipindi cha kwanza kupitia kwa Pacome Zouzoua dakika 11 na Prince Dube dakika ya 34, huku Azam FC wakipata bao lao dakika ya 81. Tazama magoli....
AHMED ALLY AKILIA AHMED ALLY LEO BAADA YA MECHI NA AL MASRY AHMED ALLY LEO AHMED ALLY LIVE AHMED ALLY BAADA YA MECHI MAGOLI YA SIMBA VS AL MASRY SIMBA VS AL MASRY LEO MAGOLI YA PENATI ZOTE PENATI ZA SIMBA SIMBA LEO SIMBA LIVE SIMBA TV MAGOLI YA SIMBA SIMBA VS AL MASRY
Super Sub, Elvis Rupia amefunga goli pekee na la ushindi wa bao 1-0 kwa Singida Black Stars dhidi ya Azam FC, mchezo wa Ligi kuu ya NBC ukipigwa kwenye Uwanja wa Liti, Singida. Goli kwa Azam FC ni Zuberi Foba ambaye hata hivyo kabla ya goli hili la dakika ya 75, alikuwa amefanya saves kadhaa na kuzuia hatari nyingi za Singida Black Stars....
Magoli kutoka kwa Israel Patrick Mwenda, Clement Mzize na Prince Dube yameipa Yanga ushindi wa 3-0 ugenini dhidi ya Tabora United, mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi, Tabora. Hiki ni kisasi kwa Yanga dhidi ya Tabora United, ikikumbkwa mchezo wa kwanza waliokutana msimu huu, Yanga ilipoteza nyumbani kw akichapo cha mabao 3-1 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
Morocco Vs Tanzania Morocco Vs Tanzania Live Morocco Vs Tanzania Leo Morocco Vs Tanzania Live Leo Morocco Vs Tanzania Leo Live Morocco Vs Tanzania Magoli Morocco Vs Tanzania Highlights Tanzania Vs Morocco Tanzania Vs Morocco Live Tanzania Vs Morocco Leo Tanzania Vs Morocco Live Leo Tanzania Vs Morocco Leo Live Tanzania Vs Morocco Magoli Tanzania Vs Morocco Highlights Morocco 2-0 Tanzania Tanzania 0-2 Morocco Morocco Vs Taifa Stars Morocco Vs Taifa Stars Highlights Kikosi Cha Tanzania Leo Kikosi Cha Taifa Stars Leo Kikosi Cha Tanzania Kinachoanza Leo Kikosi Cha Taifa Stars Kinachoanza Leo Morocco Vs Tanzania Live Today Kikosi Cha Taifa Stars Kilichoitwa Aguerr Goal Vs Tanzania Brahim Diaz Goal Vs Tanzania Brahim Diaz Penalty Goal Vs Tanzania المغرب vs تنزانيا #Tanzania #Morocco #WorldCup2026