Derby ya Dar es Salaam kati ya Yanga vs Azam FC imemalizika kwa sare ya mabao 2-2 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, katika mechi kali na tamu ya ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague Magoli ya Azam FC yametoka kwa Daniel Amoah dakika ya 25, na malickou Ndoye dakika ya 65 wakati Yanga ikijipatia magoli yote mawili kutoka kwa Feisal Salum dakika ya 57 na 77. Katika mechi hiyo pia Yanga imepoteza nafasi ya goli kwa kukosa penati dakika ya 69.
Ndoto za Tanzania kufuzu michuano ya CHAN mwaka 2023 nchini Cameroon zimeyeyuka baada ya kupokea kipigo cha mabao ...
Mtibwa Sugar wameopata ushindi wao wa kwanza kwenye ligi msimu huu wakiwachapa Ruvu Shooting mabao 2-1 kwenye ...
Singida Big Stars wameendelea kung'ara nyumbani kwa kuifunga Mbeya City mabao 2-1 katika mchezo wao wa pili wa ligi kuu ...
Timu ya Dodoma Jiji imepokea kichapo kingine leo ikipigwa na Tanzania Prisons mabao 2-1 kwenye Uwanja wake wa nyumbani ...
Jumla ya magoli manne (4) yamefungwa katika mchezo huu uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2 kati ya Polisi Tanzania dhidi ya ...