Highlights | Nyasa Big Bullets 0-2 Simba SC | CAFCL - 10/09/2022
Highlights | Nyasa Big Bullets 0-2 Simba SC | CAFCL - 10/09/2022

Tazama mambo yalivyokuwa wakati Simba SC, ikiichapa Nyasa Big Bullets mabao 0-2 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa ...

Simba 2-2 KMC | Highlights | NBC Premier League 07/09/2022
Simba 2-2 KMC | Highlights | NBC Premier League 07/09/2022

Simba SC imelazimisha sare ya mabao 2-2 kwa KMC, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye ...

DAAH! MASHABIKI WA SIMBA WALIA NA MATOLA WATEMA CHECHE SARE NA KMC KWA MKAPA
DAAH! MASHABIKI WA SIMBA WALIA NA MATOLA WATEMA CHECHE SARE NA KMC KWA MKAPA

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV VIGOGO, Simba SC wamelazimishwa sare ya 2-2 na KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na washambuliaji wake wapya, Mzambia Moses Phiri dakika ya tatu na mzawa, Habib Kyombo dakika ya 89, wakati ya KMC yamefungwa na Matheo Anthony dakika ya 47 na George Makang’a dakika ya 57. Simba SC inafikisha pointi saba na kuendelea kuongoza ligi kwa wastani wa mabao dhidii ya mabingwa watetezi, Yanga SC baada ya wote kucheza mechi tatu. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV

Magoli | Simba 2-2 KMC | NBC Premier League 07/09/2022
Magoli | Simba 2-2 KMC | NBC Premier League 07/09/2022

Simba SC imelazimisha sare ya mabao 2-2 kwa KMC, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye ...

Mtibwa Sugar 3-1 Ihefu | Highlights | NBC Premier League 07/09/2022
Mtibwa Sugar 3-1 Ihefu | Highlights | NBC Premier League 07/09/2022

Timu ya Mtibwa Sugar imeendelea kuwa na matokeo mazuri baada ya leo kuitandika Ihefu SC mabao 3-1 kwenye Uwanja wa ...

Magoli na Penati | Mtibwa Sugar 3-1 Ihefu | NBC Premier League 07/09/2022
Magoli na Penati | Mtibwa Sugar 3-1 Ihefu | NBC Premier League 07/09/2022

Timu ya Mtibwa Sugar imeendelea kuwa na matokeo mazuri baada ya leo kuitandika Ihefu SC mabao 3-1 kwenye Uwanja wa ...

π—›π—œπ—šπ—›π—Ÿπ—œπ—šπ—›π—§π—¦
π—›π—œπ—šπ—›π—Ÿπ—œπ—šπ—›π—§π—¦

Magoli kwenye mchezo wetu wa leo dhidi ya Azam FC uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2 #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko

« Previous Next »

Popular Tags

#David Silva  #Football Skills  #LeBron James  #Paul George  #Kawhi Leonard  #Best Goals  #Cleveland Cavaliers  #Lionel Messi  #Philadelphia 76ers  #James Harden  

Popular Users

#cnnbrk  #CNN  #twitter  #ArianaGrande  #StephenCurry30  #imVkohli  #TimTebow  #fauxpelini  #akshaykumar  #Buccigross  #ladygaga  #serenawilliams  #DanicaPatrick  #sydneyleroux