Content removal request!


Magoli na penati | Yanga 2-2 Azam | NBC Premier League 06/09/2022

Derby ya Dar es Salaam kati ya Yanga vs Azam FC imemalizika kwa sare ya mabao 2-2 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, katika mechi kali na tamu ya ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague Magoli ya Azam FC yametoka kwa Daniel Amoah dakika ya 25, na malickou Ndoye dakika ya 65 wakati Yanga ikijipatia magoli yote mawili kutoka kwa Feisal Salum dakika ya 57 na 77. Katika mechi hiyo pia Yanga imepoteza nafasi ya goli kwa kukosa penati dakika ya 69.