KIPA wa NAMUNGO ALIYEOKOA MICHOMO 7 ya SIMBA Afunguka KIWANGO cha DIARRA na MANULA.. KIKOSI cha klabu ya Simba leo Novemba 03, kimeshuka dimbani kuumana na klabu ya Namungo FC katika mchezo wa ligi kuu bara.. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Tazama ‘saves’ matata za Mohamed Makaka, golikipa wa Ruvu Shooting alipoamua kuwa matata kwenye kuzuia michomo ya wachezaji wa Yanga akiwemo Fiston Mayele Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Mchezaji aliyeshinda GOLI la benin afunguka haya kwa samatta MCHEZO wa kuwania Kufuzu Kombe La Dunia 2022 nchini Quartar, timu ya taifa ya Tanzania imepoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Benin. Kipindi cha kwanza Stars walikosa nafasi ya kupata bao la kuongoza kupitia kwa Simon Msuva ambaye aliweza kumkwepa kipa ila shuti lake liliokolewa na beki. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wameambulia ushindi wa kwanza kwa msimu wa 2021/22 baada ya kuanza kwa sare katika mchezo wa kwanza walipocheza dhidi ya Biashara United. Ikiwa Uwanja wa Jamhuri,ilipata ushindi kupitia nyota wao Meddie Kagere ambaye alianzia benchi. Alipachika bao hilo dakika ya 69 kwa shuti kali akiwa ndani ya 18 na lilimshinda kipa wa Dodoma Jiji Hussein Masalanga na kuifanya Simba kusepa na pointi tatu.
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wameambulia ushindi wa kwanza kwa msimu wa 2021/22 baada ya kuanza kwa sare katika mchezo wa kwanza walipocheza dhidi ya Biashara United. Ikiwa Uwanja wa Jamhuri,ilipata ushindi kupitia nyota wao Meddie Kagere ambaye alianzia benchi. Alipachika bao hilo dakika ya 69 kwa shuti kali akiwa ndani ya 18 na lilimshinda kipa wa Dodoma Jiji Hussein Masalanga na kuifanya Simba kusepa na pointi tatu. Kushangilia kwa Kagere baada ya kuvua jezi kulimfanya mwamuzi amuonyeshe kadi ya njano. Sasa Simba inafikisha pointi nne kwa kuwa mchezo wa kwanza ubao wa Uwanja wa Karume, Mara ulisoma BiasharaUnited 0-0 Simba. Inafikisha pointi nne na kuwa nafasi ya kwanza kwa mara ya kwanza baada ya kucheza mechi mbili. Dodoma Jiji walikamilisha dakika 90 wakiwa pungufu kwa kuwa nyota wao Anuary Jabir alionyeshwa kadi nyekundu baada ya kuonekana akimchezea faulo Kenned Juma ambaye hakumaliza dakika 90. 01 Oct 2021