MASHABIKI wa Simba Walivyocheza Kigoma Wakirudi DAR
MASHABIKI wa Simba Walivyocheza Kigoma Wakirudi DAR

MASHABIKI wa Simba Walivyocheza Kigoma Wakirudi DAR Unaweza kusema mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere kawatajirisha wauzaji wa jezi mkoani hapa kufuatia jezi yake kuuzwa kwa wingi. Licha ya uwepo wa jezi nyingi za Simba na Lipuli, lakini mashabiki wengi walikuwa wakiinunua jezi ya Kagere jambo ambalo wauzaji walilifurahia sana. Hali hiyo ilitokea muda mchache kabla ya jana Simba haijacheza na Lipuli kwenye Uwanja wa Samora uliopo hapa Iringa ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Championi ambalo lilipiga kambi katika eneo ambalo jezi hizo zinauzwa nje ya Uwanja wa Samora, lilishuhudia mwanzo mwisho uuzaji wa jezi hizo ukienda kwa kasi. Mmoja wa wauzaji wa jezi hizo ambaye hakuwa tayari kutaja jina lake, alisema: “Jezi hapa zinauzwa kwa bei tofauti, hizi za Simba Sh 25,000 na za Lipuli Sh 15,000. Lakini huwezi amini jezi ya Kagere ndiyo inanunuliwa sana. Hapa kila mmoja ameuza si chini ya jezi 20 za Kagere.” https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



MAGOLI YOTE: LIPULI FC 1-3 SIMBA SC (TPL – 26/02/2019)
MAGOLI YOTE: LIPULI FC 1-3 SIMBA SC (TPL – 26/02/2019)

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wamevunja mwiko wa kutokushinda mbele ya Lipuli FC baada ya leo kuichapa mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Samora mjini Iringa. Mabao ya Simba yamefungwa na Clatous Chama aliyefunga mawili dakika ya 5 na 44 huku bao la tatu likifungwa na Meddie Kagere dakika ya 57 wakati bao pekee la Lipuli likifungwa na Paul Nonga dakika ya 18. Matokeo hayo yameifanya Simba kufikisha pointi 48 kwenye nafasi ya tatu ikiwa ni pointi 2 nyuma ya Azam wanakamata nafasi ya pili, huku Yanga ikiwa nafasi ya kwanza na pointi 61.



LIPULI FC 1-3 SIMBA SC; FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 26/02/2019)
LIPULI FC 1-3 SIMBA SC; FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 26/02/2019)

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wamevunja mwiko wa kutokushinda mbele ya Lipuli FC baada ya leo kuichapa mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Samora mjini Iringa. Mabao ya Simba yamefungwa na Clatous Chama aliyefunga mawili dakika ya 5 na 44 huku bao la tatu likifungwa na Meddie Kagere dakika ya 57 wakati bao pekee la Lipuli likifungwa na Paul Nonga dakika ya 18. Matokeo hayo yameifanya Simba kufikisha pointi 48 kwenye nafasi ya tatu ikiwa ni pointi 2 nyuma ya Azam wanakamata nafasi ya pili, huku Yanga ikiwa nafasi ya kwanza na pointi 61



LIPULI FC Walivyowasili UWANJANI Kuumana na SIMBA
LIPULI FC Walivyowasili UWANJANI Kuumana na SIMBA

LIPULI FC Walivyowasili UWANJANI Kuumana na SIMBA Kikosi cha Lipuli FC Tayari kimewasili katika uwanja wa Samora mkoani Iringa kwa ajili ya kuumana na wekundu wa Msimbazi Simba SC. #SIMBAVsLIPULI Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



KIKOSI cha SIMBA Kilivyotua Kibabe Kuiua LIPULI FC
KIKOSI cha SIMBA Kilivyotua Kibabe Kuiua LIPULI FC

SIMBA Ilivyotua Uwanjani IRINGA Kuivaa LIPULI FC Kikosi cha klabu ya Simba tayari kimewasili katika uwanja wa Samora mkoani Iringa kwa ajili ya kuivaa Lipuli FC. #SIMBASC Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



FT: LIPULI 1-3 SIMBA UWANJA WA SAMORA MJINI IRINGA
FT: LIPULI 1-3 SIMBA UWANJA WA SAMORA MJINI IRINGA

Simba wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Lipuli FC. Sasa wamefikisha pointi 48 kwenye mechi 19. WAFUNGAJI: Nonga 18' Chama 6', 45' Kagere 60' Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars 90+1 Kagere nje ndani Salamba Zinaongezwa dakika 4 90 zinakamilika 89Zana anachezewa rafu na Paul Nonga88 Kona kwa Simba Boco anapiga kichwa Kagere anamalizia goli boco anacheza faulo linakataliwa. 87 Mpira wa kwanza wa Niyonzima anatoa pasi kwa Mzamiru 84 Niyonzima anaingia anatoka Chama 82 Manula,Kagere anapiga shuti linakwenda nje 81 Dilunga anakosa nafasi ya wazi akipewa pasi na Chama 80 Offside ya pili kwa Lipuli 65 Keneth Masumbuko anatoka Seif Karihe wa Lipuli. 64 Shamte anawapunguza wachezaji wa Simba shuti lake linaokolewa62 Dilunga anachezewa faulo, Saluboko Daruesha anaonyeshwa kadi ya njano 60 Shuti la kwanza la Dilunga linakuwa on target 59 Okwi anatoka anaingia Dilunga 57 Chama, Okwi, Kagere akachop kwa guu a kulia ndani 55. Nonga, Karihe, Ngalema, Fredy, William Galax anajaza ndani inakataliwa na Zana. 54 Boco anampa Chama, Kagere anapiga kichwa kinakwenda nje 53 Faulo anapiga Chama, Zana, Mlipili anapiga kichwa kinatoka nje. 52 Zana Chama, Bocco anapoteza, Kadi ya njano Seif Karihe. 50 Mohamed Yusuphu, Nonga, Wawa anatoa mpira nje, Ngalema, Jimy unatoka nje. 49 Nonga anapew huduma ya kwanza baada ya kugongana na Wawa. 48 Zana anamwaga maji yanatolewa nje na Shamte, Kona inapigwa na Okwi inatoka nje. Kipindi cha pili Mpira kwa sasa ni mapumziko Zinaongezwa dakika 3 45 Lipuli wanaotea 43 Chama anapiga bao la pili kwa free kick. 42 Manula, Yassin anachezewa faulo karibu na eneo la hatari. 40 Shamte, Zimbwe,Owi anachezewa faulo karibu na eneo la hatari. 38 ManulaMohamed Yusuphu anaunyaka 35 Chama anajaza maji yanakosa mchezaji kat 34 Karihe anacheza faulo kwa Mzamiru 32 Lipuli wanapiga kona ya nyingine 31 Faulo kwa Lipuli na Haruna Shamte inakuwa kona. 30 Zana anamwaga kubwa inatoka nje 29 Kona ya kwanza kwa Simba anapiga Okwi anampa Zimbe anajaza ndani inatoka nje. 28 Mlipili anamchezea rafu mchezaji wa Lipuli, unarushwa kwenda kwa Manula. 27 Okwi anapiga pembeni kichwa cha Kagere. 25 Mkude,Zimbwe, Kagere Yusuphu anaunyaka. 24 Okwi anajaribu mpira unatoka nje, Karihe, Zana, Chama unatolewa nje. 22 Okwi anapenyeza inaishia mikononi mwa mlinda mlango wa Lipuli. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



MAGOLI YOTE: LIPULI FC 2-2 SINGIDA UNITED (TPL - 17/02/2019)
MAGOLI YOTE: LIPULI FC 2-2 SINGIDA UNITED (TPL - 17/02/2019)

Timu ya Lipuli FC imelazimika kutumia dakika za nyongeza kusawazisha bao ili kupata sare ya mabao 2-2 dhidi ya Singida United katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Dimba la Samora Mjini Iringa. Wageni wa mchezo huo Singida United ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 46 kupitia kwa Geofrey Mwashiuya kabla ya Lipuli kusawazisha dakika ya 61 kupitia kwa Haruna Shamte. Singida walijipanga na kuongeza bao la pili dakika ya 84 kupitia kwa Boniphace Maganga lakini Miraji Athuman akaisawazisha Lipuli dakika ya 90+1 katika dakika tatu za nyongeza. Matokeo hayo yameifanya kila timu iondoke na alama moja, Lipuli ikifikisha alama 38 katika nafasi ya nne huku Singiga ikifikisha alama 29 na kukaa nafasi ya 15.




« Previous Next »


Popular Tags

#Goalkeeper Saves  #Best Ball Controls  #Best Goals  #Kyrie Irving  #LeBron James  #Paul George  #Best Goals  #Lionel Messi  #Goalkeeper Saves  #Derrick Rose  

Popular Users

#cesc4official  #BellaTwins  #darrenrovell  #alexmorgan13  #Kaepernick7  #steveaustinBSR  #kobebryant  #jimmyfallon  #BeingSalmanKhan  #_BAnderson30_  #MariaSharapova  #TheNotoriousMMA  #jtimberlake  #justinbieber