Haji Manara AFUNGUKA Kuhusu, Figisu Za TP Mazembe kuwabadilisha waamuzi
Haji Manara AFUNGUKA Kuhusu, Figisu Za TP Mazembe kuwabadilisha waamuzi

UONGOZI wa timu ya Simba umetoa tamko baada ya kulalamikia mabadiliko ya ghafla ya waamuzi wa mchezo wa marudiano kwenye mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe, utakaochezwa Mjini Lubumbashi Jumamosi ya Aprili 13. #DreamOnlineTv #Manara #simba #Waamuzi



UTANI: WAWA Alivyompiga Ngumi Mkude Kikosi cha Simba Kikirejea
UTANI: WAWA Alivyompiga Ngumi Mkude Kikosi cha Simba Kikirejea

UTANI: WAWA Alivyompiga Ngumi Mkude Kikosi cha Simba Kikirejea Msimamo unaonyesha kwamba JS Saoura inaongoza kundi ikiwa na pointi nane, ikifuatiwa na Al Ahly yenye pointi saba, sawa na timu inayoshika nafasi ya tatu, AS Vita ambayo nayo ina pointi saba, na Simba ghafla imeporomokea mkiani ikiwa na pointi sita. Hata hivyo, Simba ina nafasi ya kusonga mbele kama itaitumia vizuri mechi yao inayofuata ya nyumbani, itakayochezwa Jumamosi ijayo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba inatakiwa ikusanye nguvu zote kwa ajili ya kuzitumia kwenye mchezo huu wa mwisho, maana sasa inahitaji ushindi tu wa aina yoyote ili kutinga robo fainali bila kuangalia matokeo mengine kati ya Al Ahly na JS Saoura, Waarabu watakaochinjana wenyewe. #SIMBASC https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



Adam Salamba na Baraka Mpenja wafanya bonge la 'Suprise' kwenye Soka Kijiweni
Adam Salamba na Baraka Mpenja wafanya bonge la 'Suprise' kwenye Soka Kijiweni

Straika wa Lipuli FC ya Iringa Adam Salamba ambaye alijiunga na timu hiyo akitokea Stand United ya Shinyanga, ghafla amerejea Shinyanga yalikokuwa makazi yake na anakutana na Dodi katika kipindi cha Soka Kijiweni. Amezungumza mengi akiwa na washkaji zake likiwemo lile bao aliloifunga Simba katika sare ya bao 1-1 dhidi ya Lipuli. Katika hali ya kushangaza pia mtangazaji Baraka mpenja kutoka Azam TV ameibuka na kuwapa LIVE lile bao la pili alilofunga Habib Kiyombo wa Mbao FC dhidi ya Yanga, Desemba 31, 2017. Hii ni sehemu ya kipindi kilichoruka Aprili 30 mwaka huu. Kumbuka kipindi hiki kila Jumatatu saa 1:00 usiku, Azam Sports 2.




« Previous


Popular Tags

#Shot Goals  #Cleveland Cavaliers  #Stephen Curry  #Best Ball Controls  #Gareth Bale  #Best Ball Controls  #Best Goals  #Paul Pogba  #James Harden  #Boston Celtics  

Popular Users

#Kaepernick7  #CNN  #ATLHawks  #steveaustinBSR  #JohnCena  #BringerOfRain20  #shakira  #DjokerNole  #blakegriffin23  #imVkohli  #jtimberlake  #MichelleDBeadle  #floydmayweather  #katzm  #TheRock