🔴#Live: SIMBA VS AL AHLY  -MNYAMA ATUPA KARATA ya ROBO FAINALI kwa MKAPA - DAKIKA 90 za MOTO.....
🔴#Live: SIMBA VS AL AHLY -MNYAMA ATUPA KARATA ya ROBO FAINALI kwa MKAPA - DAKIKA 90 za MOTO.....

Live: SIMBA VS AL AHLY -MNYAMA ATUPA KARATA ya ROBO FAINALI kwa MKAPA - DAKIKA 90 za MOTO..... | UCHAMBUZI ...



Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo Dhidi Ya Al Ahly Robo Fainali Ligi Ya Mabingwa Afrika 2023/2024
Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo Dhidi Ya Al Ahly Robo Fainali Ligi Ya Mabingwa Afrika 2023/2024

Simba Vs Al Ahly Simba Vs Al Ahly Leo Simba Vs Al Ahly Live Simba Vs Al Ahly Leo Simba Vs Al Ahly Live Leo Simba Vs Al Ahly Leo Live Simba Vs Al Ahly Goals Simba Vs Al Ahly Highlights Simba 0-0 Al Ahly #SimbaSc #CafCl #AlAhly #Simba #AlAhlyTv #MoDewji #AzamTv



YANGA INAFUZU NUSU FAINALI / UBORA WA YANGA NI MKUBWA /  MAMELOD WAMEIMGIA MCHECHETO
YANGA INAFUZU NUSU FAINALI / UBORA WA YANGA NI MKUBWA / MAMELOD WAMEIMGIA MCHECHETO

Mchambuzi wa Michezo David Paschal akichambua mchezo wa Yanga dhidi ya Mamelod #singidafountaingate #yangatv #kondegang #singidafountaingate #diamond #kingmusicofficial #live #simbasc #live #simbatv #kondegang #kondegang #yangatv #singidafountaingate #kondegang #simbatv #kondegang #yangasc #live #simbasc #kingmusicofficial



SIMBA IKIANZA NA KIKOSI HIKI DHIDI YA AL-AHLY BASI MUARABU HATOKI KWA MKAPA
SIMBA IKIANZA NA KIKOSI HIKI DHIDI YA AL-AHLY BASI MUARABU HATOKI KWA MKAPA

Kuelekea mchezo mkubwa mchezo mgumu kwa Simba kaaika Robo fainali ya ligi ya mabingwa dcidi ya mabingwa wa muda lote wa Afrika klabu ya karne Al-ahly Dullah anakuja na tathmini ya kikosi ambacho kinapaswa kuanza dhidi ya Ahly katika mchezo huo kulingana na ubora wa kila mchezaji aliouonesha na Takwimu zake kiujumla JE UNASUMBULIWA NA MARADHI MBALIMBALI NA UMEKOSA SULUHISHO LA TATIZO LAKO? DOKTA ABDOUL Ana Malibu ya magonjwa yote sugu kama Kisukari Presha Vidonda vay tumbo Matatizo ya uzazi/Nguvu za Jaume Tezi Dume n.k anapatikana Kariakoo lakini anatuma dawa mikoani kote kwa uaminifu mkubwa mnoo..... Wasiliana nae kwa namba0747531853 Dullah Hassan napenda kuwakumbusha kua ili kujiunga na group letu la simba pro hakikisha unanchek kwa namba 0626629644 utaungwa na wenzio wallopo maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi ya Tanzania



EXCLUSIVE: MPENJA, MZINGA, HINJO WASHINDANA KUTANGAZA MPIRA/WAZICHAMBUA MAMELODI/AL AHLY/NOMA SANA!
EXCLUSIVE: MPENJA, MZINGA, HINJO WASHINDANA KUTANGAZA MPIRA/WAZICHAMBUA MAMELODI/AL AHLY/NOMA SANA!

Mtangazaji Mwandamizi wa soka nchini, Baraka Adson Lamsi Mpenja, maarufu Mwamba wa Umalila, Fahari ya Itete, Sauti ya Radi, amekutana na kufanya Mazungumzo maalumu na Watangazaji vinara wa kandanda kutoka Azam Media LTD, Gharib Mzinga na Ayubu Hinjo. Wamezichambua mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Machi 29, Simba vs Al Ahly na Machi 30, Yanga vs Mamelodi Sundowns.



MAZUNGUMZO YA MPENJA NA MZINGA;NILIFELI KIDATO CHA NNE/YANGA NA SIMBA ZINA UWEZO WA KUFIKA FAINALI
MAZUNGUMZO YA MPENJA NA MZINGA;NILIFELI KIDATO CHA NNE/YANGA NA SIMBA ZINA UWEZO WA KUFIKA FAINALI

Mtangazaji kinara wa soka nchini, Baraka Mpenja, amefanya mazungumzo na Mtangazaji wa soka wa Azam Media LTD, Gharib Mohamed Ally Mzinga kuhusu Maisha yake ya nyuma lakini pia ikumbukwe leo ni kumbukizi ya kuzaliwa ya Mtangazaji machachari wa Soka Ghalibu Mzinga. Lakini pia Ghalibu mzinga ametoa mtazamo wake katika mechi ya ligi ya mabingwa Afrika kati ya Simba na Yanga kuwa zinaweza kufika hatua ya fainali katika mashindano hayo.



ALLY KAMWE: TUNAKWENDA KUWAFANYA VIBAYA MAMELODI/SIMBA WANASAFISHA UWANJA/HATUJAWAHI KUSHINDWA...
ALLY KAMWE: TUNAKWENDA KUWAFANYA VIBAYA MAMELODI/SIMBA WANASAFISHA UWANJA/HATUJAWAHI KUSHINDWA...

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally kamwe aeleza namna ambavyo wamewapokea wapinzani wao Mamelodi Sundowns kwenye robo fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika na namna wanavyojipanga kumenyana nao Machi 30,2024 Uwanja wa Benjamin Mkapa.




« Previous Next »


Popular Tags

#Russell Westbrook  #Ronaldinho  #Paul George  #Mesut Ozil  #Goal Celebrations  #Paul Pogba  #Zlatan Ibrahimovi  #New York Knicks  #Manuel Neuer  #Franck Ribery  

Popular Users

#CNN  #JLo  #serenawilliams  #ATLHawks  #IAmJericho  #RyanBabel  #BellaTwins  #rioferdy5  #b_ryan9  #DjokerNole  #themichaelowen  #TheNotoriousMMA  #blakegriffin23  #kevinlove