LIVE: BUILD UP; POLISI TANZANIA VS BIASHARA UNTED, KMC VS YANGA, MWADUI VS JKT TZ - 25/10/2020
LIVE: BUILD UP; POLISI TANZANIA VS BIASHARA UNTED, KMC VS YANGA, MWADUI VS JKT TZ - 25/10/2020

Uchambuzi kuelekea mechi tatu za VPL zikichezwa katika viwanja mbalimbali ikiwemo KMC wakivaana na Yanga SC. HABARI WIKIENDI: Ni wakati wa kupata taarifa kutoka kila pembe ya Dunia katika nusu saa ya Habari Wikiendi usiku huu, kubwa likiwa ni Rais Magufuli akabidhi nyumba kwa mstaafu Ali Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili na harakati za kampeni kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 28. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli yote | Mbeya City ikiibamiza (1-2) Kagera Sugar na kupata ushindi wa kwanza - VPL 24/10/2020
Magoli yote | Mbeya City ikiibamiza (1-2) Kagera Sugar na kupata ushindi wa kwanza - VPL 24/10/2020

Ikiwa chini ya Kocha msaidizi Mathias Wandiba, Mbeya City imepata ushindi wake wa kwanza kwenye VPL msimu wa 2020/2021, tena ikiwa ugenini baada ya kuibamiza Kagera Sugar kwa jumla ya mabao 1-2. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli yote | Coastal Union (1-1) ikilazimishwa sare na Gwambina - VPL 24/10/2020
Magoli yote | Coastal Union (1-1) ikilazimishwa sare na Gwambina - VPL 24/10/2020

Ikiwa katika dimba la Mkwakwani Tanga, Coastal Union imevutwa shati na Gwambina FC ya jijini Mwanza kwenye mchezo wa VPL raundi ya nane uliomalizika kwa sare ya 1-1. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



LIVE: BUILD UP; IHEFU VS NAMUNGO UCHAMBUZI KABLA YA MECHI 24/10/2020
LIVE: BUILD UP; IHEFU VS NAMUNGO UCHAMBUZI KABLA YA MECHI 24/10/2020

Tazama uchambuzi kuelekea kwenye mtanange wa VPL kati ya Ihefu SC dhidi ya Namungo FC utakaopigwa Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | Mwadui FC 2-1 Mbeya  City - VPL  20/10/2020
Highlights | Mwadui FC 2-1 Mbeya City - VPL 20/10/2020

Ni mechi ambayo Mbeya City walipata bao lao la kwanza msimu huu lililofungwa na Richardson Ngondya licha ya kupoteza mchezo kwa kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Mwadui FC, kwenye Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga. Magoli ya Mwadui yalifungwa na Ismail Ally na Eric Nkosi. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



KIPYENGA CHA MWISHO | Osman Kazi akiyachambua matukio Prisons Vs Simba - 22/10/2020
KIPYENGA CHA MWISHO | Osman Kazi akiyachambua matukio Prisons Vs Simba - 22/10/2020

Mbali na michezo kadhaa ya VPL raundi ya saba, mwamuzi mstaafu Osman Kazi anayachambua kwa kina maamuzi kwenye mchezo kati ya wenyeji Tanzania Prisons dhidi ya Simba ambao ulimalizika kwa maafande hao wa Magareza kuondoka na ushindi wa bao 1-0. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | Tanzania Prisons 1-0 Simba SC  - VPL 22/10/2020
Highlights | Tanzania Prisons 1-0 Simba SC - VPL 22/10/2020

Mabingwa watetezi Simba SC wamepigwa 1-0 na Tanzania Prisons mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga. Goli pekee la Wajelajela hao limefungwa na Samson Mbangula dakika ya 49. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Yanga 1-0 Polisi Tanzania | Highlights – VPL 22/10/2020
Yanga 1-0 Polisi Tanzania | Highlights – VPL 22/10/2020

Goli pekee la Mukoko Tonombe limetosha kuipa Yanga pointi tatu mbele ya Polisi Tanzania, mechi ya Vodacom Premier League iliyochezwa Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Mesut Ozil  #Tristan Thompson  #Best Ball Controls  #Shaquille O'Neal  #Mesut Ozil  #Amazing Solo Goals  #Neymar  #Ronaldinho  #Best Goalkeeper Saves  #Zlatan Ibrahimovi  

Popular Users

#nfl  #Drake  #cnnbrk  #SHAQ  #NiallOfficial  #tigerwoods  #MichelleDBeadle  #OleksiakPenny  #TheNotoriousMMA  #twitter  #nytimes  #fauxpelini  #CMPunk  #NASA  #Ky1eLong