Mbali na michezo kadhaa ya VPL raundi ya saba, mwamuzi mstaafu Osman Kazi anayachambua kwa kina maamuzi kwenye mchezo kati ya wenyeji Tanzania Prisons dhidi ya Simba ambao ulimalizika kwa maafande hao wa Magareza kuondoka na ushindi wa bao 1-0. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz