Goli la Prisons 'likiichinja' Simba 1-0 Sumbawanga - VPL 22/10/2020
Goli la Prisons 'likiichinja' Simba 1-0 Sumbawanga - VPL 22/10/2020

Mabingwa watetezi Simba SC wamepigwa 1-0 na Tanzania Prisons mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga. Goli pekee la Wajelajela hao limefungwa na Samson Mbangula dakika ya 49. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights: Pince Dube apika magoli Azam ikiifumua Ihefu SC 0-2 Sokoine -  VPL 20/10/2020
Highlights: Pince Dube apika magoli Azam ikiifumua Ihefu SC 0-2 Sokoine - VPL 20/10/2020

Azam FC imejiwekea rekodi mpya kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kushinda mechi saba mfululizo za kwanza mwanzoni mwa msimu baada ya leo kuitandika Ihefu SC mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Aliyepika mabao hayo ni Prince Dube, moja likifungwa na Ayoub Lyanga na lingine likipachikwa nyavuni na Idd Selemani ‘Nado’ . Tazama Highlights. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | Polisi Tanzania (1-1) ikilazimishwa sare na Gwambina - VPL 19/10/2020
Highlights | Polisi Tanzania (1-1) ikilazimishwa sare na Gwambina - VPL 19/10/2020

Polisi Tanzania ikiwa dimbani kwake Sheikh Amri Abeid Arusha, imeshindwa kuitumia vema fursa hiyo kwa kulazimishwa sare ya 1-1na wageni wao Gwambina FC. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



LIVE:  IHEFU 0-2 AZAM, MWADUI 2-1 MBEYA CITY, UCHAMBUZI BAADA YA MECHI -  VPL  20/10/2020
LIVE: IHEFU 0-2 AZAM, MWADUI 2-1 MBEYA CITY, UCHAMBUZI BAADA YA MECHI - VPL 20/10/2020

Leo zimepigwa mechi nne na matokeo ni; Ihefu 0-2 Azam, Ruvu 1-1 KMC, Mwadui 2-1 Mbeya City. Kagera Sugar 0-0 Dodoma Jiji. Fuatilia uchambuzi baada ya mechezo hii, studio ukiwa na Ally kamwe pamoja na Rashid Seif. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli yote | Assist za Dube zilivyoipaisha kileleni Azam (0-2) ikiibamiza Ihefu - VPL 20/10/2020
Magoli yote | Assist za Dube zilivyoipaisha kileleni Azam (0-2) ikiibamiza Ihefu - VPL 20/10/2020

Katika mechi ya VPL raundi ya saba kati ya wenyeji Ihefu SC dhidi ya Azam FC, Mwanamfalme Prince Dube alikuwa na kazi moja tu ya kutoa pasi za magoli yote mawili ambayo vijana hao wa Chamazi wameshinda. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



LIVE: BUILD UP; IHEFU VS AZAM UCHAMBUZI KABLA YA MECHI -  VPL  20/10/2020
LIVE: BUILD UP; IHEFU VS AZAM UCHAMBUZI KABLA YA MECHI - VPL 20/10/2020

Leo kuna mechi nne za VPL ambazo zitapigw kwenye viwanja mbalimbali huku Ihefu SC ikiikaribisha Azam FC dimbani Sokoine Mbeya Ungana na Raymond Nyamwihula katika mchana wa habari, #AdhuhuriLive kujua yale yaliyojitokeza nchini na nje ya mipaka ya Tanzania. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Kipigo cha Mtibwa chaipa funzo Namungo FC
Kipigo cha Mtibwa chaipa funzo Namungo FC

“Mechi ya nje haifanani na ya nyumbani,” - Kocha Mkuu wa Namungo FC, Hitimana Thierry, akieleza namna timu yake inavyoendelea kujengeka na kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mtibwa Sugar. #AzamSports1HD #AzamSports2HD #SimbaSC #LigiKuuTanzaniaBara Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | Mtibwa Sugar 1-0 Namungo FC  - VPL 19/10/2020
Highlights | Mtibwa Sugar 1-0 Namungo FC - VPL 19/10/2020

Penati ya Salum Kihimbwa imewapa Mtibwa Sugar bao pekee la ushindi kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Namungo FC uliopigwa kwenye Dimba la Jamhuri, Morogoro. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Goalkeeper Saves  #Best Ball Controls  #Best Football Defending Skills  #Football Defensive Skills  #Shaquille O'Neal  #LeBron James  #Mesut Ozil  #Shaquille O'Neal  #Tristan Thompson  #David Silva  

Popular Users

#wizkhalifa  #ATLHawks  #rioferdy5  #RSherman_25  #BarackObama  #YouTube  #DanicaPatrick  #katyperry  #kevinlove  #KylieJenner  #Oprah  #nyt4thdownbot  #strombone1  #ladygaga  #TheNotoriousMMA