“Uwanja wa Mkapa ndiyo machinjio ya Simba” - Mashabiki wa Simba mkoani Iringa wakijinadi ‘kuichinja’ Plateau United huku wakitamba kufika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. #AzamSports1HD , #AzamSports2HD Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
“Kiukweli wale jamaa wameyakanyaga…” - Mashabiki wa Simba kutoka jijini Dar es Salaam wameipongeza timu yao, huku wakitamba kwamba Plateau United watakiona cha moto uwanja wa Benjamin Mkapa. #AzamSports1HD , #AzamSports2HD Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Azam FC wamelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Biashara United, mchezo wa ligi kuu ukichezwa kwenye Dimba la Karume, Musoma. Azam wametangulia kupitia kwa Ayoub Lyanga lakini Biashara wakachomoa kupitia kwa Timothy Omwenga licha ya kukosa penati. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Timu ya Ruvu Shooting imelazimishwa suluhu na Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa Novemba 29 mwaka huu kwenye Uwanja wa Mabatini, Pwani. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
BIASHARA UNITED 1-1 AZAM FC: Golikipa wa Azam David Mapigano Kisu naye akazungumzia kiwango chake: Ni baada ya mchezo wa ligi kuu uliomalizika kwa sare ya 1-1 kwenye uwanja wa Karume Musoma. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Sikiliza alichokizungumza aliyekuwa CEO wa Simba SC, Crescentius Magori ambaye ni mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi (Mo Dewji) kuhusu sababu za kiufundi zilizopelekea ushindi wa Simba ugenini dhidi ya Plateau United. #Simba #SimbaSC #PlateauSimba #PlateauUnited #ufmradio Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Azam FC wamelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Biashara United, mchezo wa ligi kuu ukichezwa kwenye Dimba la Karume, Musoma. Azam wametangulia kupitia kwa Ayoub Lyanga lakini Biashara wakachomoa kupitia kwa Timothy Omwenga licha ya kukosa penati. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Magoli mawili ya Seif Karihe na moja la Augustino Samson yameipa Dodoma Jiji FC ushindi wa mabao 3-0 dhid ya Ihefu, mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Haya hapa magoli yote. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz