HIGHLIGHTS | DODOMA JIJI FC 0-0 SIMBA | NBC Premier League 25/02/2026

Tazama highlights jinsi Simba walivyobanwa mbavu na kulazimishwa suluhu na Dodoma jiji, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania ukipigwa kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma.

USHINDI WA MZIZE ULIVYOTANGAZWA KUNYAKUWA TUZO CAF

CAF AWARDS 2025 | Hivi ndivyo nyota magwiji wa soka la Afrika, Asamoah Gyan na Manucho walivyomtangaza Clement Mzize (Yanga SC) kuwa mshindi wa tuzo ya goli bora la mwaka. Pia sikiliza alichokisema Clement mwenyewe kuhusu tuzo hiyo akitoa shukrani zake kwa CAF, wachezaji wenzake, benchi la ufundi, na wote waliompigia kura. Mzize anasema “…hii ni ya kwetu wote” Goli lenyewe ni lile alilowafunga TP Mazembe kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, msimu uliopita…Yanga ikishinda 3-1 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Januari 4, 2025. Ni usiku wa tuzo kwa waafrika waliofanya vizuri kwenye ulimwengu wa soka mwaka 2025. Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #CAFAwards2025 #CAFAwards #TuzoZaCAF

ALLY KAMWE AFUNGUKA SAKATA LA WACHEZAJI WALIOMALIZA MKATABA, PACOME ATAJWA

Mahojiano maalum ndani ya #ULIVE na Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC Ally Kamwe.

ULIVE: YANGA DAY MOJA KWA MOJA KUTOKA BENJAMIN  MKAPA/ YANGA SC (0) VS (1)  RED ARROWS FC

Ungana nasi katika kuyang'amua yaliyojiri kwenye ulimwengu wa michezo. U LIVE ni kila siku kuanzia saa 10:00 jioni hadi saa 1:00 usiku. Tunakuweka Karibu na Michezo.

#ULIVE: SHEREHE YANGA SC WAKIKABIDHIWA KOMBE LA LIGI KUU 2023/24 DIMBA LA MKAPA

ULIVE: YANGA SC (5) VS (0) POLISI TZ/ KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM / UFM RADIO FEBRUARI 20, 2024

#ULIVE:  YANGA SC (3) VS (0) MEDEAMA SC/ LIGI YA MABINGWA AFRIKA/ UFM RADIO DISEMBA 20, 2023

#ULIVE: WYDAD AC (1) VS (0) SIMBA SC/ LIGI YA MABINGWA AFRIKA/ UFM RADIO DISEMBA 9, 2023

Next »

Popular Tags

#Amazing Solo Goals  #Gareth Bale  #Chicago Bulls  #Best Goals  #Sergio Aguero  #Best Ball Controls  #Paul Pogba  #Football Defensive Skills  #Miami Heat  #Shot Goals  

Popular Users

#DeAndre  #RSherman_25  #britneyspears  #incarceratedbob  #alexmorgan13  #Kaepernick7  #CMPunk  #UKCoachCalipari  #RobbieSavage8  #KDTrey5  #josecanseco  #AdamSchefter  #BeingSalmanKhan  #normmacdonald  #instagram