๐จ ๐๐๐๐๐๐๐๐: ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐! ๐๐ฆ Simba SC ๐น๐ฟ rasmi itacheza dhidi ya Tusker ๐ฐ๐ช kwenye sherehe za SimbaDay 2026 na mchezo huo wa kimataifa wa kirafiki utachezwa tarehe 08-08-2026 katika uwanja wa Uhuru. ๐ Awali Simba walituma ombi la kuialika FC Dynamos ya Zimbabwe ๐ฟ๐ผ lakini mpaka sasa klabu hiyo ya Zimbabwe haijatoa majibu na ndipo Simba SC ikabadili maamuzi ya kuialika Tusker ya nchini Kenya ambayo imejibu kwa wakati na kukubali kushiriki mchezo huo. WACHEZAJI WAPYA SIMBA MPAKA SASA : ๐ฟ๐ฆ Keletso Makgalwa โ ametokea Sekhukhune United (Afrika Kusini). ๐ฎ๐ถ Ibraheem Jabaar โ ametokea Stellenbosch FC (Afrika Kusini). ๐จ๐ฎ Serge Badjo โ ametokea USM Alger (Algeria). ๐น๐ฟ Kelvin Nashon โ ametokea Pamba Jiji FC (Tanzania). ๐น๐ฟ Bakari Msimu โ ametokea Coastal Union (Tanzania).
#Simbasc #wachezajiwapyasimbasc #Ahmedally WACHEZAJI WAPYA WALIOSAJILIWA SIMBA MSIMU HUU 2026/2027 Waliosajiliwa 1. Kaletso Makgalwa Winga kutoka Shekukune 2.Serge Badjo kutoka Ivory Coast Mlinzi wa kati Sababu ni Rushine injury aliyopata fainal dhidi ya Azam CRDB imemfanya atachelewa kurejea uwanjani 3. Ibraheem Jabaar kiungo kutoka Stellenbosch alifanya kazi na Steve Berker 4. Nathaniel chilambo kutoka Azam FC ameshatambulishwa ndiye mrithi wa Kapombe Simba 5. Kelvin Nashon kutoka Singida BS ila alikuwa Kwa Mkopo Pamba Jiji 6.Bakari Msimu kutoka Coastal Union 7. Ismail Mgunda Mshambuliaji kutoka Mashujaa 8.Seleman Mwalimu imeshindikana kusajiliwa mazima kutoka wydad kutokana na wydad kutaka mpunga mrefu ila Simba wamekubaliwa kwenye Mkopo wa msimu mzima hivyo Seleman Mwalimu atasalia tena Simba Kwa Mkopo . Wanatazamwa kwenye kagame cup wakikidhi wanasajiliwa mazima 9. Ibrahim Doumbia Mshambuliaji raia Wa Mali, Ibrahim Doumbia amesaini mkataba wa mwaka mmoja ambao una kipengele cha kuongeza miaka miwili baadae katika klabu ya Simba Sc ya Tanzania. Doumbia alikuwa mfungaji Bora wa Ligi ya Mali Msimu ulopita akiwa na mabao 17. Simba hawataki kucheza kamali ya kumpa mkataba wa muda mrefu mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22, wakihofia akifeli na gharama za kuvunja mkataba. Doumbia msimu uliopita:- ๐ Mfungaji bora wa Msimu ๐ Mchezaji bora wa Msimu ๐ Mchezo bora chipukizi wa Msimu. ๐ Alikuwepo kwenye kikosi Bora cha msimu. DEAL OFF Ramadhan Chobwedo Winga kutoka TRA United amefeli vipimo vya afya Simba Dili lake limekufa rasmi Mpaka sasa Simba Sports Club imeachana na wachezaji wengi kuelekea msimu ujao. Je ni nani hakustahili kupewa Gudubaiii hapa utaniambia kwenye uwanja wa Comment hapo chini. 1. Chamou Karaboue. 2. Naby Camara. 3. Edwin Balua. 4.Joshua Mutale. 5. Awesu Awesu. 6. Omari Omari. 7. Moussa Camara. 8. Mzamiru Yassin 9. Ladack Chasambi 10. Jonathan Sowah 11. Mohamed Bajaber 12. Salehe Karabaka Mkopo Pamba Jiji 13. Valentino Mashaka Mkopo JKT Tanzania
SUBSCRIBE NOW: ๐ Site: https://simbasc.co.tz/ ๐ฑ App Store - https://apps.apple.com/tz/app/simba-sc/id1564389213 ๐ฑ Play Store - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&hl=en ๐ต Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/ ๐ธ Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania ๐ Twitter: https://twitter.com/SimbaSCTanzania ๐ถ Tiktok: https://www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC YouTube Channel: Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference ๐ต๐ดโช #NguvuMoja #Wenyenchi
Mnyama Simba ametinga fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kwa kuichapa Coastal Union mabao 4-0 katika mchezo mchezo wa nusu fainali uliopigwa kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha. Magoli ya mchezo huu yamefungwa na Libase Gueye, Nickson Kibabage, Rushine de Reuck kwa penati na Clatous Chama.
Shabiki wa Yanga, Apagawa na Ushindi wa Simba wa Bao 4-0 dhidi ya Coastal union, ataka Yanga ijivunje kwa AZAM FC
#BmtvTanzania #Bmtv Tembelea https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1
#simbavscoastalunion #simbanacoastalunionleolive #simbalive
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally atema Cheche kali kuhusu kuambiwa wnapanga na Timu Pinzani.ili wasichezeshwe Wachezaji muhimu,Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Coastal Union,kesho Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha.