🔴LIVE: Kocha wa Simba awatoa hofu mashabiki wa Simba pira biriani ndio limeanza kurudi tena
🔴LIVE: Kocha wa Simba awatoa hofu mashabiki wa Simba pira biriani ndio limeanza kurudi tena

Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: https://www.youtube.com/c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+harakatizabongo



MASHABIKI SIMBA WALIA KOCHA ARUDISHWE, "BADO NI NGUMU KUSEMA UBINGWA"...
MASHABIKI SIMBA WALIA KOCHA ARUDISHWE, "BADO NI NGUMU KUSEMA UBINGWA"...

MASHABIKI SIMBA WALIA KOCHA ARUDISHWE, "BADO NI NGUMU KUSEMA UBINGWA"... Klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Polisi Tanzania goli ambalo lilifungwa na Bwalya dakika 85 kwa mkwaju wa penati baada ya Bernard morrison kuchezewa madhambi ndani ya boksi... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



اهداف و مهارات بيريسي تاو لاعب برايتون السابق و لاعب الأهلي القادم لاعب عالمي😎
اهداف و مهارات بيريسي تاو لاعب برايتون السابق و لاعب الأهلي القادم لاعب عالمي😎

الوصف مهارات وأهداف الجنوب إفريقي بيرسي تاو المرشح الجديد للأهلي المصري 🔥 Percy Tau Best Skills & Goals بيرسي تاو - Percy Tau Percy Muzi Tau percy tau :بيرسي تاو ..مهارات واهداف صفقة الاهلي الجديدة..الفوتبولرH الجنوب افريقي بيرسي تاو لاعب برايتون الانجليزي | مهارات وأهداف بيرسي تاو برايتون بيرسي تاو الاهلي انتقال بيرسي تاو من برايتون الإنجليزي إلى صفوف الأهلي «بطل أفريقيا» انتقال بيرسي تاو من برايتون الإنجليزي إلى صفوف الأهلي «بطل أفريقيا» بيتسو موسيماني يتمسك بالتعاقد مع بيرسي تاو من برايتون Pitso Mosimane (بيتسو موسيماني) Mohamed El Shenawy بيتسو موسيماني - Pitso Mosimane محمد الشناوي - Mohamed El-Shenawy والتير بواليا - Walter Bwalya محمد شريف - Mohamed Sherif محمود كهربا - Mahmoud Kahraba Aswan SC 1-3 Al Ahly Al Ahly 3-1 Aswan SC أسوان 1-3 الأهلي الأهلي 3-1 أسوان مشاهدة مباراة اسوان والأهلي بث مباشر بتاريخ 29-07-2021 الدوري المصري مشاهدة مباراة اسوان والأهلي الدوري المصري انتهت المباراة بفوز الأهلي بنتيجة 3-1 هدف والتير بواليا Le but de Walter Bwalya هدف محمد شريف Le but de Mohamed Sherif هدف محمود كهربا Le but de Mahmoud Kahraba هدف والتير بواليا اليوم هدف محمد شريف اليوم هدف محمود كهربا اليوم الأهلي المصري ‏النادي الأهلي AlAhly نسر مباراة اليوم لاعبنا حسين الشحات حسين الشحات مباراة البرازيل ومصر بث مباشر بتاريخ 31-07-2021 الألعاب الأولمبية 2020 مباراة البرازيل ومصر الألعاب الأولمبية بيرسي تاو,تفاوض الأهلي مع بيرسي تاو,بيرسي تاو الاهلي,بيرسى تاو,بيرسي تاو في الزمالك,اهداف ومهارات بيرسي تاو,موسيمانى و بيرسى تاو,بيرسى تاو الاهلى,بيرسي تاو لاعب الاهلي الجديد,بيرسى تاو و الاهلى,- بيرسي تاو المرشح للانتقال للاهلي,بيرسي تاو المرشح للانضمام للأحمر بعد حديث موسيماني,بيرسى تاوى لاعب برايتون,موسيمانى و تاو,بيتسو موسيمانى,تاو الاهلى,عمرو زكى يرشح بيرسي تاو نجم جنوب افريقيا للانتقال الى نادى الزمالك فى الصيف #بيريسي_تاو #صفقة_الاهلي #الاهلي



DILI LA MIQUISSONE LIMEIVA KUELEKEA AL AHALY,BILION 2 AITEMA KAIZER CHIEF
DILI LA MIQUISSONE LIMEIVA KUELEKEA AL AHALY,BILION 2 AITEMA KAIZER CHIEF

Kuna faida nyingi Simba ikimuuza Miquissone Al Ahly . . Nimeona mijadala na taarifa nyingi zinaendelea kuhusu Luis Miquissone.. Inasemekana kuna timu nyingi kubwa kutoka nje zinamhitaji.. Inapendeza sana.. . Nasikia kuna ofa inayofikia Bilioni 1.6 imetolewa na Al Ahly ya Misri kwa Miquissone.. Ni pesa nyingi sana.. Inatokea mara chache kwa mchezaji kutoka Ligi ya Tanzania akauzwa pesa nyingi hivyo.. . Ilitokea kwa Okwi miaka mingi nyuma.. Aliuzwa Dola 300,000 (Mil 450 kwa wakati huo)... Bahati mbaya Simba ililazimika kuisubiri pesa hiyo kwa miaka mitatu.. . Tofauti na Okwi, hakuna mchezaji mwingine kutoka Ligi ya Tanzania amewahi kuuzwa zaidi ya Milioni 300.. Hivyo ofa ya Miquissone ni rekodi mpya kwa soka letu.. . Hata hivyo inadaiwa kuwa Simba bado haijawa tayari kumuuza Miquissone.. Wanadai kuwa malengo yao Afrika ni makubwa hivyo wanadhani si muda sahihi kumuuza nyota wao.. . Lakini kwa mtazamo wangu Simba ingekubali tu kumuuza Miquissone.. Kuna faida nyingi katika biashara hiyo. . Kwanza katika biashara hiyo, Simba itapiga pesa.. Usajili wa Miquissone haukugharimu zaidi ya dola 200,000 lakini leo Simba inamuuza kwa Dola 700,000.. Ni faida kubwa.. . Ni mchezaji gani mwingine Simba inaweza kumuuza kwa faida kubwa hivyo? Hakuna. Siyo Chama wala Bwalya.. . Pili, kwa kumuuza Miquissone kwenda klabu kubwa Afrika itavutia wachezaji wengi zaidi kwenda Simba.. Wataona Simba ni daraja la mafanikio.. . Simba itakuwa na heshima yake kwenye soko la usajili.. Wachezaji wengi wenye ndoto kama za Miquissone watatamani kwenda Simba. Vipi Simba ikigoma kumuuza? Wachezaji wakubwa wataona Simba siyo timu nzuri ya kuwafikisha wanapotaka.. . Asikwambie mtu, hakuna mchezaji yoyote mkubwa Afrika hatamani kucheza Al Ahly, Wydad Club au Mamelodi Sundowns.. Ndio timu za ndoto za wengi..



SIMBA V MBEYA CITY ,MAGOLI YOTE VPL 2020/21
SIMBA V MBEYA CITY ,MAGOLI YOTE VPL 2020/21

SIMBA V MBEYA CITY ,MAGOLI YOTE VPL 2020/21, TAZAMA MAGOLI YOTE SIMBA 4, MBEYA CITY 1, WAFUNGAJI RALLY BWALYA,LUIS MIQUISSONE,JOHN BOCCO,PASTORY ATHANAS NA CLOUTOS CHOTA CHAMA



SIMBA YAICHAKAZA MBEYA CITY MAGOLI 4 - 1, TAZAMA MAGOLI YOTE YALIVYOFUNGWA
SIMBA YAICHAKAZA MBEYA CITY MAGOLI 4 - 1, TAZAMA MAGOLI YOTE YALIVYOFUNGWA

Timu ya Simba imeichakaza Mbeya City magoli 4-1 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Rally Bwalya, Luis Miquissone, John Bocco na Clatous Chama wakati goli la kufutia machozi kwa Mbeya City likifungwa na Pastory Athanas. #Subscribe #EmTVNews



MAMBO 10 YA KITAALAMU ALIO YAONA ALI KAMWE SIMBA IKIPIGA DODOMA 3 -1|CHAMA ANA ASSIT 13
MAMBO 10 YA KITAALAMU ALIO YAONA ALI KAMWE SIMBA IKIPIGA DODOMA 3 -1|CHAMA ANA ASSIT 13

Mambo 10 nilioyaona Simba vs Dodoma 1: WHAT A MATCH. Tactically, Technically makocha na wachezaji wametupa dakika 90 zilizoshiba. Mechi ya nguvu, kasi na maarifa ya kutosha..  2: Kocha wa Dodoma Jiji, Mbwana Makata aliingia na 4-2-4 akiwa na viungo wawili tu katikati ya kiwanja. Watu wanne wa juu wakiwa bora sana kwenye pressing 🙌 Game Plan ilikuwa sahihi, 'Quality' ikatofautisha ubao wa matokeo. Nafasi ambazo Dodoma walizichezea, Simba walizitumia. 3: Dakika 45 za kwanza, Didier Gomes alibaki na sytem ya 4-2-3- 1 lakini akabadili style of Play kidogo. Chama akaenda pembeni, Bwalya akacheza zone ya 14. Timu ikaonekana nzito kidogo 'kulink' kutoka kati kuingia phase ya 3 ya kiwanja. Nini alifanya? 4: Akamtoa Muzamir Yassin akamuingiza Morrison. Chama akarudi kwenye zone ya 14, Bwalya akarudi kati. Timu ikalainika, nafasi zinakapatina. 5: Again, Simba wamethibitisha tena nilichowahi kukisema. Ni timu hatari pindi inaposhambuliwa. Mpinzani akitawanyika wana watu wazuri wa kutega kwenye maeneo ya wazi. Wakiupata mpira.. hawachezi, wanashambulia.  6: CHAMA 🐐.. Damu ya Zambia. mwili wa Hispania. Akili ya Brazil.. Alichobakisha ni kutoa asali na maziwa kwenye miguu yake..  What A Player 🙌 Anaufanya mchezo wa mpira uonekana mrahisi sana. Yuko Sharp kwenye kujitengenezea nafasi na ni mtulivu kwenye maamuzi yake  7:  Ule mguu wa kushoto wa Larry Bwalya una 'vision' ya ajabu sana🙌 Ana utulivu sana. Anaimeza presha ya Opponent kwa ustadi wa aina yake. Ile pivot yake na Nyoni inawapa uhakika Simba wa kumiliki mpira kwa muda mwingi wa mchezo 8: Justine Omary🙌 Yule beki wa kati wa Dodoma Jiji.. Ni mpambanaji sana. Ana kimo kizuri, ana nguvu na timing yake ni nzuri sana. Akisukuma kidogo kwenye kutafuta kasi, he is one of the best tunaoweza kuwategemea kwa baadae 9: Miquissone 👍 Katika ubora wake wa kila siku. Dodoma walimpa mechi ngumu akawafunga bao gumu. Ule ndio ubora unaowabeba Simba wanapokuwa katika nyakati ngumu kiwanjani 10: Mkandala 👍 Alipambana sana kumvuruga Muzamir katikati ya kiwanja. Wale mabeki wa pembeni wa Dodoma, George Wawa na Ngalema wamevuja sana jasho. Well done kwao.. Nb: Tar 8 bebeni Tende tu.. Ftari mtaipata KWA MKAPA 😀




« Previous Next »


Popular Tags

#Kawhi Leonard  #David Silva  #Michael Jordan  #Zlatan Ibrahimovi  #Gareth Bale  #Stephen Curry  #Best Football Defending Skills  #Manuel Neuer  #Russell Westbrook  #Goal Celebrations  

Popular Users

#DjokerNole  #BaileyLAKings  #JayBilas  #b_ryan9  #BrunoMars  #CNN  #RobbieSavage8  #KingJames  #_BAnderson30_  #MikePereira  #YouTube  #ArianaGrande  #cesc4official  #shakira