Telegram: https://t.me/KidanistarsTV BAADA ya kuvuliwa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi jana Januari, 10,2022 leo wamewasili Dar wakitokea Zanzibar. Yanga iliyokuwa inatetea Kombe la Mapinduzi iliishia hatua ya nusu fainali ambapo ilipoteza kwa changamoto ya penalti dhidi ya Azam FC. Dakika 90 zilikamilika kwa timu kutoshana nguvu bila kufungana ugumu ukawa kwenye penalti ambapo Azam ilishinda penalti 9-8 Yanga. Miongoni mwa mastaa wa Yanga ambao walikuwa kwenye msafara ni pamoja na kipa Aboutwalib Mshery, Eric Johora,Razack Siwa ambaye ni kocha wa makipa. Fiston Mayele, Heritier Makambo, Salim Aboubakhari na Dennis Nkane. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
CHAMA HUYOO KARUDI SIMBA, TRY AGAIN AFUNGUKA ZANZIBAR - "HATUFANYI KAZI KWA KELELE, TUTAWAPA FURAHA" KLABU ya soka ya Simba, leo Januari 05, imeshuka dimbani kuvaana na klabu ya Selem View Academy kwenye uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar wakiwania kombe Mapinduzi. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Simba kuwatoa Selem View kwa magoli ( 2 - 0) yaliyofungwa na Pape Sakho na Larry Bwalya. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
TAZAMA JINSI RALLY BWALYA ALIVYOKOSA PENATI (simba vs azam) Comment Like Share Subscribe #highlights #BABADUPDATES #SPORTSUPDATES #ALLSPORTSLIVEHIGHLIGHTS
🔴#LIVE: SIMBA SC WALIVYOWASILI Uwanjani, MANULA, MUGALU, KAGERE, BWALYA, Kuwaua RED ARROWS.. KIKOSI cha Simba sc leo Novemba 28, tayari kimewasili katika uwanja wa Mkapa jijini Dar kwa ajili ya kuvaana na Red Arrows ya Zambia wakiwania kufuzu hatua ya makundi ya kombe la shirikisho Afrika.. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
UCHAMBUZI CLOUDS; SIMBA 1-0 NAMUNGO AJIB & MKUDE MFUMO UMEKUBALI MORRISON, BWALYA SIMBA WAPUNGUZE PRESHA
Simba 1-0 Polisi Tanzania Penati Ya Bwalya Vs Polisi Tanzania Penati Ya Rally Bwalya Dhidi Ya Polisi Tanzania #SIMBASC #TFF #KAGERE
Usisahau Kusubscribe Kwa Habari Za Uhakika Kutoka Hapa JIJA TV