Simba washindwa kuingia katika hatua ya makundi #CAFCL baada ya kuchakazwa bao 3 kwa 1 dhidi ya Jwaneng Galaxy kwenye dimba la mkapa leo. #Subscribe #EmTVNews #Erastomashauri
Timu ya Simba imeichakaza Mbeya City magoli 4-1 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Rally Bwalya, Luis Miquissone, John Bocco na Clatous Chama wakati goli la kufutia machozi kwa Mbeya City likifungwa na Pastory Athanas. #Subscribe #EmTVNews