Tunajua Haji Anakera anafanya hivi na vile, ni aina ya watu ambao kufika umri ule kumrekebisha ni kazi sana Hivyo TFF Waangalie sababu wakati mwingine ni mtu wa 'mood' nashauri awe na heshima kwa watu ajirekebishe, ajifunze 'OSIAH KATIBU WA ZAMANI WA TFF'
Rais wa heshima wa Simba SC, MO Dewji alikuwa kimya kwa muda mrefu na sasa ameamua na kuonekana kama kuna kitu anataka kufanya baada ya awali kukaa kimya kiasi cha mashabiki kuhisi kama kajitoa hivi.
MSAFARA wa Simba wa watu wasiopungua 40 ukiwa Johannesburg, Afrika Kusini tayari kwa maandalizi ya mechi ya kwanza ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs utakaochezwa katika Uwanja wa FNB ‘Soccer City’ uliopo jijini humo, Jumamosi Mei 15. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #kaizerchiefs #simbasc #cafcl