KIMYA CHA MO DEWJI CHENYE MSHINDO MKUBWA, AMEANZA AWAITA MARA TATU SIMBA, KUWAFUTA MACHOZI?
Rais wa heshima wa Simba SC, MO Dewji alikuwa kimya kwa muda mrefu na sasa ameamua na kuonekana kama kuna kitu anataka kufanya baada ya awali kukaa kimya kiasi cha mashabiki kuhisi kama kajitoa hivi.