HIGHLIGHTS: unifi Liga Super M2019 - Kuala Lumpur vs Selangor
HIGHLIGHTS: unifi Liga Super M2019 - Kuala Lumpur vs Selangor

Sorotan aksi menarik perlawanan away unifi Liga Super Selangor menentang Kuala Lumpur semalam. Kelebihan dua gol dimiliki Kuala Lumpur tidak mematahkan semangat Selangor untuk melakukan kebangkitan dramatik pada 45 minit terakhir. 3 gol yang dihasilkan oleh Sandro Da Silva, Syazwan Zainon dan Amri Yahyah yang memberikan kemenangan kepada pasukan Selangor. #RedGiants #KLSEL #unifiLigaSuper2019 Ikuti media sosial kami @FASelangor. Category



Kwanini penati ya Simba dhidi ya African Lyon haikuwa halali - KIPYENGA CHA MWISHO 28/02/2019
Kwanini penati ya Simba dhidi ya African Lyon haikuwa halali - KIPYENGA CHA MWISHO 28/02/2019

Kipindi hiki cha Februari 28, kimechambua matukio kadhaa yenye utata katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara, likiwemo lile la Simba kupewa penati katika mchezo wao dhidi ya African Lyon uliopigwa Februari 19 mwaka huu kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. Tazama ni kwanini kipindi hiki kimesema kuwa penati ile haikuwa halali. Matukio mengine ni ya off-side, ambapo katika wiki hiyo mhanga mkubwa amekuwa ni Stand United aliyenyimwa magoli mawili halali kwenye mchezo wake na Mbeya City uliopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya kwa kigezo cha off-side. Matukio mengine ni kwenye mchezo kati ya Azam FC dhidi ya Simba, Lipuli FC dhidi ya Azam FC, pamoja na mchzo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) kati ya KMC na Mtibwa Sugar ambapo kuna penati ilirudiwa. Tupo na waamuzi wastaafu Osman Kazi na Manyama Bwire. #KipyengaChaMwisho ni kila Alhamisi saa 3:30 usiku #AzamSports2



AFRICAN LYON 0-3 SIMBA SC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 19/02/2019)
AFRICAN LYON 0-3 SIMBA SC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 19/02/2019)

Mabingwa watetezi wa Ligi kuu Tanzania Bara Simba SC wamepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya African Lyon katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Simba imepata mabao yake kupitia kwa John Bocco aliyefunga mawili dakika ya 28 kwa penati na dakika ya 46, huku bao lingine likifungwa na Adam Salamba dakika ya 45+2. Matokeo hayo yanaifanya Simba kufikisha pointi 42 ikiendelea kubaki nafasi ya tatu nyuma ya Azam FC wenye pointi 50 na kileleni bado yupo Yanga akiwa na pointi 58. Kwa upande wao African Lyon wamesalia mkiani wakiwa na pointi 21 katika michezo 27 waliyocheza.



MAGOLI YOTE: AFRICAN LYON 0-3 SIMBA SC; (TPL - 19/2/2019)
MAGOLI YOTE: AFRICAN LYON 0-3 SIMBA SC; (TPL - 19/2/2019)

Mabingwa watetezi wa Ligi kuu Tanzania Bara Simba SC wamepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya African Lyon katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Simba imepata mabao yake kupitia kwa John Bocco aliyefunga mawili dakika ya 28 kwa penati na dakika ya 46, huku bao lingine likifungwa na Adam Salamba dakika ya 45+2. Matokeo hayo yanaifanya Simba kufikisha pointi 42 ikiendelea kubaki nafasi ya tatu nyuma ya Azam FC wenye pointi 50 na kileleni bado yupo Yanga akiwa na pointi 58.



MANARA Alivyomvalisha JERRY MURO Jezi ya SIMBA!!
MANARA Alivyomvalisha JERRY MURO Jezi ya SIMBA!!

MANARA Alivyomvalisha JERRY MURO Jezi ya SIMBA!! Ofisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amekutana uso kwa uso na Ofisa Habari wa zamani wa klabu ya Yanga ambaye kwa sasa ni Mkuu wa wilaya ya Arumeru, Jerry Muro, na kuamua kumvalisha jezi ya Simba. Manara na DC Muro wamekutana jijini Arusha katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid katika mchezo wa Simba na African Lyon ambao umemamlizika kwa Simba kuichapa Lyon mabao 3-0. #SIMBAVSAFRICALLYON https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



FT: African Lyon  0-3 Simba Uwanja Sheikh Amri Abeid Arusha
FT: African Lyon 0-3 Simba Uwanja Sheikh Amri Abeid Arusha

African Lyon 0-3 Simba Bocco 28' Salamba 45' John Bocco 46 Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Dakika ya 90+3 Lyon wanamfuata Manua, Gyan anaanua na filimbi ya mwisho inapulizwa. Dakika ya 90+2 Lyon wanapata kona Dakika ya 90+1 Bocco anaotea Dakika 90 zinakamilika zinaongezwa dakika 3 Dakika ya 88 Lyon wanato mpira nje, Bocco, Abdul anapiga shuti linadakwa na mlinda mlango wa Lyon Dakika ya 85 Dilunga anatka anaingia Abdalah Seleman Dakika ya 83 Manula anaanzisha mashambulizi kwenda Lyon Dakika ya 80 Wawa anatoka nje anaingia Mliili Dakika ya 77 Ngonyan anapeleka mashambulzi kwa Manula, wanapata kona ya kwanza Lyon inapigwa na Jabir Aziz Simba wanaanua. Dakika 76 Bocco anaotea Dakika ya 75 Mtikila anapeleka mashambulizi yanaishia kwa Manula, Niyonzima, Gyan,Dilunga, Gyan mlinda mlango anaokoa. Dakika ya 74 Rashid Mtabwiga anaingia Jonas Mkude Dakika ya 73 Juma, Yassin, Bocco anacheza rafu. Dakika ya 70 Rashid Juma, Bocco,Gyan, Boco anachezewa rafu Bocco. Dakika ya 64 Ngonyani anazisha mashambulizi, wanapata faulo mabeki wa Simba wanaanua. Dakika ya 63 Lyon wanamfuata Manula, maeki wanazuia, mpiraunarushwa na Lyon Said Mtikia anapoteza mpira. Dakika ya 62 Gyan anaruha kwenda Lyon , mabeki wanaondoa, Wawa mpira unatoka nje Dakika ya 59 Gyan, Niyonzima anawekwa chini na mchezaji wa Lyon, Gyan anajaza ndani mlinda mlango wa Lyon anaudaka, mchezaji wa Lyon anatoa nje mpira unakwa ni wakurushwa na Gyan, Salmba inakamatwa na mlinda mlango. 45 zinakamilika zinaongezwa dakika 4 Dakika 40+4 Simba wanaanza mashambulizi Dakika 40+3 Lyon wanaanza safari kwa Manula Dakika ya 40+2 Simba wanaanza mashambulizi kwa Lyon Dakika ya 40+1 mashambulizi Lyon kwenda kwa Lyon. Dakika ya 45 Simba wanaanza mashambulizi Dakika ya 44 Niyonzima, Gyan,Bocco mlinda mlango anatema Salamba anamalizia na kukimbilia kwa mwalimu wake wa viungo. Dakika ya 43, Niyonzima, Bocco, Juma, Salamba anaotea akiwa amepasiha mawinguni mpira. Dakika ya 42 Rashid anapaka rangi mpia akiwa eneo la hatari mabeki wanaizuia, Gyan , Niyozima anaenyeza ndani mabeki wanaokoa. Dakika ya 41 Lyon wanapasiha mawinguni mpira kwa Manula, Yassin anapeleka pasi mbele inayomkuta Salamba anazidiwa maarifa na mabeki wa Lyon. Dakika ya 40 Niyonzima anapoteza pasi akiwa karbu na eneo la hatari. Dakika ya 39 Salamba anacheza rafu kwa mchezaji wa Lyon. Dakika ya 38 Dilunga anapoteza mpira ndani ya box Dakika ya 37 Gyan anatoa Boco, Lyon wanaanza kisha wanapoteza kwa Simba, wanafanikiwa kuupata na kupiga shuti linaishia kwa Manula. Dakika ya 35 mchezaji wa Lyon yupo chini akipewa huduma ya kwanza pamoja na mlinda mlango Dakika ya 34 Lyon wanaanza safari kwa Manula, Kwasi anaopata mpira na kuanza safari kwa Lyon mlinda mlango anaukamata. Dakika ya 33 Lyon wnaanza safari nyingine kwa Manula, Gyan anarusha na safari kwenda Lyon inaanza mabeki wanaanua hatari, Lyon wanawatingisha Simba mabeki wanaanua. Dakika ya 32 Lyon wanaanza safari kwenda kwa Manula. Dakika ya 31 Boco analazimisha kuingia eneo la hatari anazuiliwa Dakika ya 29 Lyon wanamfuata Manula Bocco anafunga bao la penalti dakika ya 28 kwa mguu wa kulia. Dakika ya 27 Lorrandi Msonjo wa Lyon anaonyeshwa kadi ya njano Dakika ya 25 Niyonzima anapiga faulo inaonolewa eneo la hatari, Wawa anarudisha ndani mchezaji wa Lyon ananawa mpira. Dakika ya 24 mchezaji wa Lyon anamchezea rafu Rashid Juma. Dakika ya 24 Rashid Juma anapiga kicha kinachoishia mikononi mwa minda mlango wa Lyon. Dakika ya 22 Niyonzima anapata majeraha kwenye mguu wa kulia anapewa huduma ya kwanza. Dakika ya 21 Niyonzima aamchezea faulo mchezaji wa Lyon. Dakika ya 21 Lyon wanafanya shambulizi kwa Manula. Dakika ya 21 Rashid Juma anapoteza mpira akiwa eneo la hatari. Dakika ya 20 Mzamiru anaondosha eneo la hatari mpira Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



SPOTI HINTS: OKWI, JUUKO OUT! AFRICAN LYON VS SIMBA
SPOTI HINTS: OKWI, JUUKO OUT! AFRICAN LYON VS SIMBA

SPOTI HINTS: OKWI, JUUKO OUT! AFRICAN LYON VS SIMBA LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea tena leo kwa michezo mbalimbali kupigwa katika viwanja Tofauti ikiwemo Mechi kati yaAfrican Lyon dhidi ya Simba katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha huku Kocha Mkuu Patrick Aussems akithibitisha kuwakosa wachezaji wake Emmanuel Okwi na Juuko Murshid. Lakini pia gumzo ambalo lilikuwa likiendelea katika mitandao ya kijamii ikimuhusu Beki Mkongwe Kelvin Yondani kutompa mkono Nahodha wake Ibrahim Ajibu leo wanayanga wameamua kuonyesha video ambayo inawaonyesha wako sawa huku wakikimbizana katika kambi yao waliyoweka jijini Mwanza wakijiandaa na mchezo wao dhidi ya Mbao FC. #OKWI #JUUKO https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



Kipa wa Biashara United ‘aliamsha dude’ lingine klabuni, asimamishwa mechi 5, kocha afunguka
Kipa wa Biashara United ‘aliamsha dude’ lingine klabuni, asimamishwa mechi 5, kocha afunguka

Golikipa Nouridine Balora anayeichezea Biashara United amekumbana na sakata lingine la kufungiwa mechi tano ikidaiwa kuwa alionesha utovu wa nidhamu kwa uongozi wake. Kocha wa timu hiyo Amri Said amethibitisha taarifa hizo mara baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya Biashara United na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Karume Musoma, huku akieleza kushangazwa na vitendo vinavyofanywa na golikipa huyo raia wa Burkina Faso. Kwenye mchezo huo Biashara United imeifunga Mtibwa Sugar mabao 2-1. Hivi karibuni, kipa huyo alikwaruzana hadharani na kocha wake Amri Said wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports dhidi ya Yanga uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam baada ya kocha huyo kumtoa nje.




« Previous Next »


Popular Tags

#Philadelphia 76ers  #Kawhi Leonard  #Cleveland Cavaliers  #Kobe Bryant  #Football Defensive Skills  #Best Champions League  #Sergio Aguero  #Michael Jordan  #Russell Westbrook  #Cristiano Ronaldo  

Popular Users

#StephenCurry30  #RobbieSavage8  #KylieJenner  #DjokerNole  #RobGronkowski  #criscyborg  #normmacdonald  #incarceratedbob  #Harry_Styles  #elonmusk  #alexmorgan13  #nyt4thdownbot  #SrBachchan  #hunterpence  #selenagomez