-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #SIMBASC #NELSONOKWA #AHMEDALLY
Mchezaji wa zamani wa Tumbaku, Reli, Jogoo, Simba, Yanga na timu ya Taifa, Zamoyoni Mogela aeleza safari ya maisha yake ya soka kutoka Simba kwenda Yanga, kustaafu soka, maisha yake binafsi na familia yake kwa ujumla. --- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #Zamoyonimogela #Yangasc #Simbasc
Meneja wa habari na mawasilino wa klabu ya Simba SC Ahmed Ally amemjibu Msemaji wa klabu ya Young Africans Haji Manara, kufuatia andiko lake alilolitoa jana jioni kuhusu uhalali wa mchezo wa kirafiki uliochezwa mjini Ismailia-Misri dhidi ya timu ya Ismailia. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #ahmedally #hajimanara #kambimisri
-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #Simonmsuva #Wydadcasablanca #Injiniahersi
Miamba hiyo ya soka inafikiria kumuachia Luis ili wapate nafasi ya kuvuta mchezaji mwingine wa kigeni na Simba baada ya kusikia taarifa hizo, fasta wakatuma maombi kwa Al Ahly kama ikiwezekana wamruhusu aje kukipiga tena Msimbazi. Simba inamtaka Luis kwa mkopo, lakini ikipanga kumpunguzia mshahara, kitu ambacho kwa sasa kinajadiliwa na miamba hiyo kuona inakuwaje. Taarifa kutoka ndani ya Simba zinasema kuwa katika ombi lao wamependekeza Luis apunguze mshahara kutoka Dola 50,000 (zaidi ya Sh 100 milioni) kwa mwezi na kuwa isiyozidi dola 15,000 (zaidi ya Sh 30 milioni). -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #HAJIMANARA #AHMEDALLY #USAJILI
Barbara amekua akitajwa kama kiongozi anayekwamisha maendeleo ndani ya Simba SC, nah ii ilidhihirika baada ya kuondoka kwa aliyekua Mkuu wa Idara ya Habari na Mwasilino klabu hapo Haji Manara na baadae Kassim Dewji alimtaja mwanadada huyo alipohojiwa na kituo cha EFM mapema mwezi uliopita. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #SIMBASC #BARBARA #HAJIMANARA
-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #Morrison #Bangala #Aucho
-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #ahmedally #simbasc #okrah