Content removal request!


AHMED ALLY AMCHANA MANARA/ HAJUI SOKA/ 'UZUZU'/ UPEO MDOGO/ WOTE WAMECHEZA

Meneja wa habari na mawasilino wa klabu ya Simba SC Ahmed Ally amemjibu Msemaji wa klabu ya Young Africans Haji Manara, kufuatia andiko lake alilolitoa jana jioni kuhusu uhalali wa mchezo wa kirafiki uliochezwa mjini Ismailia-Misri dhidi ya timu ya Ismailia. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #ahmedally #hajimanara #kambimisri