Content removal request!


SIMBA YAMJIBU MORRISON/ BARBARA HANA KOSA LOLOTE/ HAONDOKI NG’O!/ MIKATABA!/ KWANI MNATAKA NINI?

Barbara amekua akitajwa kama kiongozi anayekwamisha maendeleo ndani ya Simba SC, nah ii ilidhihirika baada ya kuondoka kwa aliyekua Mkuu wa Idara ya Habari na Mwasilino klabu hapo Haji Manara na baadae Kassim Dewji alimtaja mwanadada huyo alipohojiwa na kituo cha EFM mapema mwezi uliopita. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #SIMBASC #BARBARA #HAJIMANARA