Content removal request!


Uchambuzi: 'Off side' ya Gerson Fraga ilivyoinyima goli halali Simba vs JKT Tanzania

"Haikuwa off-side" - Uchambuzi wa James Samwel na Ally Kamwe kuhusu uamuzi wa off side ya Gerson. Je, wewe nini maoni yako? FT: Simba SC 0-1 JKT Tanzania. #AzamSports2 #VodacomPremierLeague #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL #SimbaSC #SSC #JKTTanzania #SimbaJKT