MORISON NA AZIZ KI  WAKUTANA NA YANGA PRINCESS/SIKIA USHAURI WAO KUELEKEA DABI YA WANAWAKE.
MORISON NA AZIZ KI WAKUTANA NA YANGA PRINCESS/SIKIA USHAURI WAO KUELEKEA DABI YA WANAWAKE.

Kuelekea dabi ya kariakoo ya ligi ya wanawake ya Serengeti, wachezaji wa Yanga wakiume Benard Morison na Aziz Ki wamekutana na wachezaji wa Yanga Princes na kuzungumza mambo kadhaa. . Fungua video hii kuwasikia.

TAZAMA SIMBA 2-0 YANGA ZA WANAWAKE KUELEKEA DABI YA WANAUME
TAZAMA SIMBA 2-0 YANGA ZA WANAWAKE KUELEKEA DABI YA WANAUME

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV

TAMBO ZA AHMED ALLY BAADA YA SIMBA QUEENS KUCHUKUA UBINGWA CECAFA/"TUNAKWENDA KUPAMBANA NA WAKUBWA”
TAMBO ZA AHMED ALLY BAADA YA SIMBA QUEENS KUCHUKUA UBINGWA CECAFA/"TUNAKWENDA KUPAMBANA NA WAKUBWA”

Leo Tarehe 27/8/2022 ni Mtanange wa Fainali ya michuano ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake ukanda wa CECAFA kati ya Simba Queens dhidi ya She Corporates kutoka Uganda, Mchezo Unaochezwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Saa Moja Usiku.

Highlights | Simba Queens 6-0 Garde Republicaine | CAF Women Champions League Qualifiers 14/08/2022
Highlights | Simba Queens 6-0 Garde Republicaine | CAF Women Champions League Qualifiers 14/08/2022

KUFUZU LIGI YA MABINGWA WANAWAKE: Tazama highlights, Simba Queens ilipoiadhibu Garde Republicaine ya Djibouti ...

Simba Queens 3-0 Baobab Queens | Highlights | Ligi Kuu ya Wanawake 20/05/2022
Simba Queens 3-0 Baobab Queens | Highlights | Ligi Kuu ya Wanawake 20/05/2022

Tazama highlights jinsi mabingwa #SimbaQueens walivyoichapa #BaobabQueens katika mchezo wa mwisho wa ligi kuu ya ...

Magoli | Simba Queens 3-0 Baobab Queens | Ligi Ya Wanawake 20/05/2022
Magoli | Simba Queens 3-0 Baobab Queens | Ligi Ya Wanawake 20/05/2022

Mabingwa wa ligi kuu ya wanawake Tanzania bara, Simba Queens wameitandika baobab Queens mabao 3-0 katika mchezo wa mwisho wa ligi hiyo uliochezwa kwenye Dimba la Uhuru, jijini Dar es Salaam. Magoli ya Simba Queens kwenye mchezo huu yamefungwa na Pambani kuzoya dakika ya 2, Asha Jaffary dakika ya 50 na Joelle Bukuru dakika ya 90'

Magoli yote Simba Queens ikiichapa Yanga Princess 1-4 | Ligi ya Wanawake - 08/01/2022
Magoli yote Simba Queens ikiichapa Yanga Princess 1-4 | Ligi ya Wanawake - 08/01/2022

Tazama magoli yote wakati Yanga Princess ikishushiwa kichapo cha mabao 1-4 kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake Tanzania

« Previous Next »

Popular Tags

#New York Knicks  #Paul George  #Best Goals  #Luis Suarez  #Paul Pogba  #Counter Attack Goals Football  #Chris Paul  #Mesut Ozil  #David Silva  #Football Skills  

Popular Users

#TheCUTCH22  #YouTube  #si_vault  #MichelleDBeadle  #alexmorgan13  #selenagomez  #DanicaPatrick  #CNN  #baseballpro  #MileyCyrus  #UKCoachCalipari  #NASA  #oldhossradbourn  #neymarjr  #ATLHawks