Goli pekee la Idd Selemani 'Nado' limeipa Tanzania #TaifaStars pointi tatu kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Uganda, katika mchezo wa ufunguzi wa michuano maalum ya CECAFA 3 Nations Tounarment #CECAFA3NT inayopigwa kwenye Uwanja wa Black Rhino, Karatu mkoani Arusha...
MIAKA 60 YA UHURU: Timu ya Taifa ya Tanzania #TaifaStars imekubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa timu ya taifa ya Uganda #TheCranes katika mchezo wa kirafiki kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Tanzania, uliochezwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Magoli ya Uganda yamefungwa na Ivan Asaba dakika ya 72 na Joseph Bright dakika ya 90.
Timu ya Taifa ya Tanzania #TaifaStars imekubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa timu ya taifa ya Uganda #TheCranes katika mchezo wa kirafiki kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Tanzania, uliochezwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Magoli ya Uganda yamefungwa na Ivan Asaba dakika ya 72 na Joseph Bright dakika ya 90.