Hakikisha Umesubscribe Chaneli Yetu Ya #Grasstv1 Kwa Habari Za Uhakika Na Pia Tufuatilie Katika Mitandao Ya Kijamii Instagram & Tiktok kama @Grasstv1
Wasiliana nasi kwa simu namba 0677071019
Alichokisema ALI KAMWE Baada ya SIMBA Kufungwa 2-0 Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika
Yanga SC imeichapa Coastal Union mabao 3-1 na kutinga 16 bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la KMC Complex. Maxi Nzengeli amefunga magoli mawili dakika ya 2 na 15, wakati Clement Mzize akipiga la tatu dakika ya 21 baada ya Coastal Union kupata bao la dakik aya 18 kupitia kwa Miraji Abdallah. Magoli yote yamefungwa ndani ya dakika 21 za kwanza….
Wasiliana nasi kwa simu namba 0677071019
Magoli matatu yamefungwa, Simba ikipenya kuingia 16 bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kwa kuifunga TMA Stars mabao 3-0 kwenye Dimba la KMC Complex. Magoli ya Simba yamefungwa na Valentine Nouma, Sixtus Sabilo kwa kujifunga na Lionel Ateba..... Kwa kuvuka hatua hii, Simba sasa itakutana na Bigman FC kwenye hatua hiyo...
Wasiliana nasi kwa simu namba 0677071019