Kwa story zaidi za kimichezo, matukio, vicheko na vilio vya kispoti tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii : ►SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/channel/UCZFvoDR_NaJ65zmsIibpFeQ?sub_confirmation=1 ►Instagram https://www.instagram.com/tv3tz ►TikTok https://www.tiktok.com/@tv3tz ►Facebook https://www.facebook.com/tv3tanzania ►Twitter https://twitter.com/Tv3Tanzania #Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha @startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish) RATIBA ZA VIPINDI VYETU DIMBANI JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1 KAMILI ASUBUHI KIJIWE JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 USIKU BENCHI LAUFUNDI JUMATATU HADI IJUMAA SAA 12 JIONI TOBOA JUMATATU KUANZIA SAA TATU KAMILI USIKU #Tv3Tanzania #GameOn #Manula #kapombe #Onyango #Sakho #MosesPhiri #Henock #Inonga #Chama #Clatus #TripleC #Bocco #JohnBocco ##Mzamiru #Kanoute #Nyoni #Kyombo #Kibu #KibuDenis #Hussein #Beno #Mkude #Okrah #Diarra #Djuma #Lomalisa #Job #DicksonJob #Bangala #YanickBangala #Aucho #Sureboy #Moloko #Mayele #FistonMayele #ZanzibarFinest #FeisalSalum #Feisal #Kisinda #BakariMwamnyeto #BernardMorrison #Morrison #Clement #AzizKi #Farid #FaridMussa #KibwanaShomari #WilbolMaseke #LusajoMwaikenda #BruceKangwa #EdwardManyama #DanielAmoah #SospeterBajana #KipreJunior #JamesAkaminko #PrinceDube #YahyaZayd #AyoubLyanga #Sopu #Msindo #Sebo #Foba #Muguna #Edinho #Nado #Mbombo #Mkandala #foundertz
DROO YA ROBO FAINAL KOMBE LA SHIRIKISHO NA LIGI YA MABINGWA AFRIKA KUFANYIKA LEO. Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara anazungumza na Watanzania kuelekea Droo Ya robo Fainali Kombe la Shirikisho na ligi Ya mabingwa Africa inafanyika leo saa 9:00 Alasiri nchini Misri Ambapo Tanzania itawakilishwa na Simba na Yanga Kwenye ligi ya Mabingwa Afrika huku Manara akiweka wazi nafasi ya Yanga kufuzu Nusu Final kutokana na aina ya mpinzani watakayepangiwa Vilabu ambavyo vimefuzu robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Kuna Al Ahly (Egypt), ASEC Mimosas (Cote d’Ivoire), Mamelodi Sundowns (South Africa), Atletico Petroleos (Angola), TP Mazembe (DR Congo), Simba SC (Tanzania), Esperance Sportive de Tunis (Tunisia), Young Africans (Tanzania). kombe la Shirikisho Kuna USM Alger (Algeria), Zamalek (Egypt), Dreams FC (Ghana), RS Berkane (Morocco), Modern Future (Egypt), Abu Salem (Libya), Rivers United (Nigeria), Stade Malien (Mali). #manara #yangasc #caf #drooyacaf #hajimanara #manaratv #simbawc #alikamwe #ahmedally #azamtv #azamfc #ligikuu #michezo #burudani #tff #nbc #gsm Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
Leo Machi 6,2024 Mnyama Simba anashuka Dimba la Jamhuri Morogoro kumenyana na Wajelajela Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ,Saa 10:00 jioni.
Leo Machi 2,2024 Simba SC inaikaribisha Jwaneng Galaxy ya Botswana katika Uwanja wa Benjamin Mkapa,kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi,Saa 1:00 usiku.
Kikosi cha Yanga SC kimefanya mazoezi yao ya mwisho katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya Mchezo wa Februari 24,2024 wa ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya CR Belouizdad,Utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa,Saa 1:00 jioni.
Ungana nasi katika kuyang'amua yaliyojiri kwenye ulimwengu wa michezo. U LIVE ni kila siku kuanzia saa 10:00 jioni hadi saa 1:00 usiku. Tunakuweka Karibu na Michezo.
Leo Februari 20,2024 Yanga SC inaialika Polisi Tanzania Uwanja wa Azam Complex Chamazi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports,Saa 1:00 Jioni.
Leo Februari 17,2024 KMC FC inashuka Dimba la Jamhuri Morogoro kuikaribisha Yanga SC katika mchezo wa ligu kuu ya NBC,Saa 10:00 Jioni. Kaa karibu na Mpenja TV kupata taarifa zote za kabla na baada ya mchezo huo.