Bao la Okwi akiitanguliza Simba dhidi ya Ndanda SC (VPL - 06/05/2018)
Bao la Okwi akiitanguliza Simba dhidi ya Ndanda SC (VPL - 06/05/2018)

Mshambuliaji wa Simba SC Emmanuel Okwi amezidi kuonesha makeke kwa kuifungia timu yake bao la kwanza dhidi ya Ndanda Sc dakika ya 44 ya mchezo. Ni mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) inayopigwa kwenye dimba la Taifa Dar es Salaam.



SIMBA SC 2-0 TANZANIA PRISONS: FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 16/04/2018)
SIMBA SC 2-0 TANZANIA PRISONS: FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 16/04/2018)

Wekundu wa Msimbazi, Simba SC wameendelea kuwika katika dimba lao la nyumbani, baada ya leo kuwachapa Wajelajela Tanzania Prisons mabao 2-0. Simba wamejipatia bao la kwanza kupitia kwa John Bocco dakika ya 35 ya mchezo akimalizia kwa kichwa mpira uliopigwa na Erasto Nyoni na kugonga mwamba, bao linalomfanya nahodha huyo wa Simba kufikisha mabao 14 katika orodha ya wachezaji wanaoongoza kwa mabao. Vinara hao wa ligi wamepata bao la pili kupitia kwa Emmanuel Okwi, kwa mkwaju wa penati huku beki wa Prisons Jumanne Elifadhili akitolewa kwa kadi nyekundu kwa kumchezea vibaya John Bocco na kusababisha penati hiyo iliyompa Okwi bao la 19 na kujikita kileleni mwa orodha ya wafungaji bora. Baada ya mchezo huo, kocha na wachezaji wa Tanzania Prisons wamemlalamikia mwamuzi wa mchezo huo kwa kile wanachokiamini kama kutoa penati ambayo haikuwa sahihi.



EMMANUEL OKWI,JOHN BOKO WAENDELEA KUUWASHA MOTO SIMBA SC VS TANZANIA PRISONS
EMMANUEL OKWI,JOHN BOKO WAENDELEA KUUWASHA MOTO SIMBA SC VS TANZANIA PRISONS

Emmanuel okwi na John Boko waendelea kuwapa furaha wana simba sc baada ya kupata ushindi wa magoli 2 bila katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara.



SIMBA SC 3-1 MBEYA CITY:  FULL HIGHLIGHTS (VPL 12/4/2018)
SIMBA SC 3-1 MBEYA CITY: FULL HIGHLIGHTS (VPL 12/4/2018)

Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa katika dimba la Taifa Dar es Salaam, mabao yote yakifungwa kipindi cha kwanza. Wafungaji upande wa Simba ni Emmanuel Okwi, John Bocco na Asante Kwasi huku bao la Mbeya City likifungwa na Frank Ikobela, ambapo mabao matatu kati ya hayo yamefungwa ndani ya dakika tatu. Tazama kwa ufupi mchezo ulivyokuwa.



MAGOLI YOTE: SIMBA SC 3-1 MBEYA CITY (VPL - 12/4/2018)
MAGOLI YOTE: SIMBA SC 3-1 MBEYA CITY (VPL - 12/4/2018)

Haya ndiyo magoli yote manne yaliyofungwa katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambao Simba imeshinda 3-1, mabao yote yakifungwa kipindi cha kwanza. Wafungaji upande wa Simba ni Emmanuel Okwi, John Bocco na Asante Kwasi huku bao la Mbeya City likifungwa na Frank Ikobela, ambapo mabao matatu kati ya hayo yamefungwa ndani ya dakika tatu.



MAGOLI Yote ya Simba Vs Mbeya City 3 - 1
MAGOLI Yote ya Simba Vs Mbeya City 3 - 1

MAGOLI Yote ya Simba Vs Mbeya City 3 - 1 Kikosi cha Simba kimezidi kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mbeya City FC. Mabao ya Simba yamefungwa na Emmanuel Okwi, Asante Kwasi na John Bocco. Mbeya City wamejipatia bao lao kupitia kwa Frank Ikobel na kuufanya mchezo umalizike kwa idadi hiyo ya mabao. Simba wamefikisha alama 55 dhidi ya watani wao wa jadi Yanga walio na 47. Mpaka sasa Simba imeshacheza jumla ya michezo 23 huku Yanga ikiwa na 22. Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... T



Emmauel Okwi alipoitanguliza Simba dhidi ya Mbeya City - VPL 2017/18
Emmauel Okwi alipoitanguliza Simba dhidi ya Mbeya City - VPL 2017/18

Ni dakika ya 17, Mshambuliaji Emmanuel Okwi anaipa Simba bao la kwanza. Ni mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) ikipigwa kwenye dimba la Taifa




« Previous Next »


Popular Tags

#Lionel Messi  #Miami Heat  #Los Angeles Lakers  #Michael Jordan  #Best Goals Ever  #LeBron James  #Kevin Durant  #Chicago Bulls  #David Silva  #Cleveland Cavaliers  

Popular Users

#strombone1  #BeingSalmanKhan  #Buster_ESPN  #geniebouchard  #hunterpence  #JLo  #realmadrid  #twitter  #kobebryant  #kevinlove  #imVkohli  #TheNotoriousMMA  #UKCoachCalipari  #wizkhalifa