Content removal request!


EMMANUEL OKWI,JOHN BOKO WAENDELEA KUUWASHA MOTO SIMBA SC VS TANZANIA PRISONS

Emmanuel okwi na John Boko waendelea kuwapa furaha wana simba sc baada ya kupata ushindi wa magoli 2 bila katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara.