SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC leo wamewaangushia kipigo cha mbwa koko Alliance ya Mwanza kwa kuifunga mabao 5-1 katika mchezo wa ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenue Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na Emmanuel Okwi aliyefunga mawili dakika ya 10 na dakika ya 62, Asante Kwasi dakika ya 30, Adam Salamba dakika ya 70 na Clatous Chama dakika ya 87. Bao pekee na la kufutia machozi la Alliance limefungwa na Zabona Khamis dakika ya 90+3. Tazama highlights,
#SIMBAVSALLIANCE #PATRICKAUSSEMS KOCHA Simba Aeleza mfumo Wake/ Amtaja Salamba MECHI ya Simba dhidi ya Alliance FC imemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 5-1 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Wafungaji wa Simba ni Okwi dakika ya 10 na 63, Kwasi dakika ya 30, Salamba dakika ya 70 na Chama dakika ya 88. na bao la Alliance FC limefungwa na Khamis 90+4. Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars OKWI, CHAMA, KWASI NA SALAMBA WOTE WAFUNGA SIMBA SC YAIKANDAMIZA ALLIANCE FC 5-1 TAIFA MABINGWA watetezi, #SimbaSC wamepata ushindi wa kishindo baada ya kuichapa 5-1 #AllianceFC katika mchezo wa #LigiKuu ya Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Ushindi huo unaifanya Simba SC ifikishe pointi 20 baada ya kucheza mechi tisa na kupanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu, sasa ikiziwa pointi nne na vinara, Azam FC ambao hata hivyo wamecheza mechi moja zaidi. Watani wao wa jadi, Yanga SC wanafuatia kwa pointi zao 19 na kesho watacheza mechi yao ya nane kwa kumenyana na KMC Saa 1:00 usiku Uwanja wa Taifa. Mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi alifunga bao la kwanza dakika ya 10 kwa kichwa akimalizia pasi ya kocha baada ya krosi ya beki Mghana, Nicholas Gyan baada ya kona fupi kutoka upande wa kulia. Kikosi cha Simba SC leo kilikuwa; Aishi Manula, Nicholas Gyan/Shomari Kapombe dk46, Asante Kwasi, Juuko Murshid, Pascal Wawa, Said Ndemla, Mohammed ‘Mo’ Ibrahim/Hassan Dilunga dk61, Clatous Chama, Adam Salamba/Meddie Kagere dk75, John Bocco na Emmanuel Okwi. Alliance FC; Kelvin Richard, Israle Patrick, Hance Masoud, Wema Sadock, Geoffrey Luseke, Juma Nyangi, Dickson Ambundo, Balama Mapinduzi/Martin Kiggi dk89, Michael Chinedu/Juhudi Philemon dk61, Jamal Mtegeta/Zabona Khamis dk80 na Siraj Juma. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC leo wamewaangushia kipigo cha mbwa koko Alliance ya Mwanza kwa kuifunga mabao 5-1 katika mchezo wa ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenue Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na Emmanuel Okwi aliyefunga mawili dakika ya 10 na dakika ya 62, Asante Kwasi dakika ya 30, Adam Salamba dakika ya 70 na Clatous Chama dakika ya 87. Bao pekee na la kufutia machozi la Alliance limefungwa na Zabona Khamis dakika ya 90+3.
MAGOLI YOTE ya Simba VS Alliance 5- 1 MECHI ya Simba dhidi ya Alliance FC imemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 5-1 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Wafungaji wa Simba ni Okwi dakika ya 10 na 63, Kwasi dakika ya 30, Salamba dakika ya 70 na Chama dakika ya 88. na bao la Alliance FC limefungwa na Khamis 90+4. Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Simba SC leo wametoa zawadi kwa mfadhili wao Mohamed Dewji baada ya kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Taifa Dar es Salaam. Mabao ya Simba kwenye mchezo wa leo yamefungwa na Clatous Chama dakika ya 31, Emmanuel Okwi dakika ya 45 na bao la kujifunga kupitia kwa Eric Mulilo dakika ya 78. Simba inapata ushindi huo ikiwa ni siku tangu mfanyabiashara huyo kupatikana baada ya kutekwa tangu Oktoba 11 mwaka huu. Haya hapa mabao yenyewe.
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA SC imeamsha makali yake baada ya kuichapa African Lyon ya Dar es Salaam mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam usiku wa leo. Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 14 baada ya kucheza mechi saba, ikijivuta hadi nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu, nyuma ya Azam FC pointi 15 za mechi saba, Singida United pointi 16 mechi tisa na Mtibwa Sugar pointi 17 mechi tisa. Ushindi wa leo wa Simba SC umetokana na mabao ya kiungo mzalendo, Shiza Ramachani Kichuya kipindi cha kwanza na mshambuliaji wake Mganda, Emmanuel Okwi kipindi cha pili, wakati bao la Lyon limefungwa na Awadh Juma dakika ya 62. Kichuya ambaye ameporomoka kiasi cha kuachwa timu ya taifa, leo aliamsha makali yake kwa kufunga bao la kwanza mapema tu dakika ya nane akimalizia krosi ya beki wa kulia, Shomari Kapombe Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars