Baada ya Yanga kuchapwa bao 1-0 na Mtibwa Sugar,nahodha wa timu hiyiop Ibrahim Ajib amewatupia lawama waamuzi kuwa wamekuwa hawaitendei haki timu yao katika mechi nyingi za Ligi Kuu Bara. Bao la Riphat Khamis dakika ya 52 lilitosha kuipa ushindi Mtibwa Sugar na kuendeleza rekodi yao bora inapocheza nyumbani kwani katika michezo mitano mfululizo iliyopita iliyocheza Morogoro imeshinda yote. Kukataliwa kwa bao lililofungwa na Amissi Tambwe dakika ya 89 ndiko kulisababisha Ajib kutoa ya moyoni ukuhusu waamuzi kuwa wamekuwa hawatendi haki licha ya wachezaji kupambana sana uwanjani kutafuta matokeo. Mwamuzi Hans Mabena wa Tanga alikataa bao hilo baada ya kumuangalia mwamuzi wa pembeni ambaye alinyoosha kibendera kuashiriki mfungaji alikuwa ameotea. "Waamuzi hawachezeshi kwa haki kwani huwa hawako upande wetu mechi nyingi. Kwani tunajitahidi kwa uwezo wetu lakini inaumiza unapambana sana lakini anatokea mwingine anakurudisha nyuma"alisema. Ajib amesema wataendela kupambana katika michezo iliyobaki kwani licha ya wapinzani wao Simba ambao wanawafuukuza wana mechi nyingi hivyo lolote. Kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga, Meddie Kagere amefunga mabao mawili na kuikoa timu yake isipate kipigo kutoka kwa Coastal Union. Simba ilijikuta ikishangazwa dakika ya kwanza tu baada ya Raizin Hafidhi kuifungia Coastal Union bao kutokana na beki Erasto Nyoni kujichanganya na kipa wake Aishi Manula katika kuokoa mpira huo. Kagere aliisawazishia Simba bao kwa penalti dakika ya 48, penalti iliyotokana na Emmanuel Okwi kuangushwa na kipa wa Coastal Union Sudi Mohammed. Dakika ya 68 Kagere aliipata Simba bao la pili kwa shuti kali akimalizia pasi ya Clatous Chama hivyo kufikisha mabao 16 kwenye ligi na kumfikia kinara Salum Aiyee wa Mwadui FC huku akimzidi bao moja Heritier Makambo wa Yanga mwenye mabao 15.
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wameendelea wimbi la ushindi kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo kuichapa Coastal Union mabao 2-1 kwenye Dimba la Mkwakwani Jijini Tanga. Wenyeji Coastal ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya kwanza kupitia kwa Raizin Hafidh baada ya beki wa Simba Erasto Nyoni kuchanganyana na kipa wake Aishi Manula kuchanganyana. Dakika ya 48 Simba walipata penati baada ya Emmanuel Okwi kuangushwa ndani ya 18 na kipa wa Coastal Union, penati ambayo ilifungwa na Meddie Kagere ambaye pia aliifungia Simba bao la pili dakika ya 68. Matokeo hayo yanaifanya Simba iendelee kujiimarisha kwenye nafasi yake ya tatu ikifikisha pointi 60 huku Coastal Union wakiwa nafasi ya nane na pointi 41.
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wameendelea wimbi la ushindi kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo kuichapa Coastal Union mabao 2-1 kwenye Dimba la Mkwakwani Jijini Tanga. Wenyeji Coastal ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya kwanza kupitia kwa Raizin Hafidh baada ya beki wa Simba Erasto Nyoni kuchanganyana na kipa wake Aishi Manula kuchanganyana. Dakika ya 48 Simba walipata penati baada ya Emmanuel Okwi kuangushwa ndani ya 18 na kipa wa Coastal Union, penati ambayo ilifungwa na Meddie Kagere ambaye pia aliifungia Simba bao la pili dakika ya 68. Matokeo hayo yanaifanya Simba iendelee kujiimarisha kwenye nafasi yake ya tatu ikifikisha pointi 60 huku Coastal Union wakiwa nafasi ya nane na pointi 41.
OKWI Aweka REKODI Mpya - SIMBA Vs TP MAZEMBE Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, alifunga bao pekee la ugenini kwa simba dhidi ya TP Mazembe kwenye mchezo wa robo fainali ya vilabu bingwa Africa mechi iliyochezwa nchini Congo jumamosi iliyopita Kabla ya Okwi Simba ilikua haikuwahi kufunga goli lolote kwenye michuano hiyo katika mechi za ugenini toka hatua za makundi baada ya kupoteza kwa jumla ya magoli 12 kwa mechi za ugenini.. #SIMBAVsTPMAZEMBE https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars FT TP Mazembe 4-1 Simba Goooool Okwi dk ya 2 Simba Gooool Mazembe chongo dk ya 23 Mazembe Goooool Elia Meshack dk ya 38 Mazembe Goooool Tresor Mputu dk ya 62 Mazembe Goooool Jackson Muleka dk ya 75 Mazembe Simba wamefanya mabadiliko ametoka Mzamiru Yassin anaingia Meddie Kagere. Mpira kwa sasa ni Kipindi cha pili Dakika 45 zimekamilika imeongezwa dakika moja MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali kati ya TP Mazembe na Simba unaendelea kwa sasa nchini Congo Kwa sasa ni kipindi cha kwanza ambapo hakuna timu ya Simba imeanza kupata bao la kwanza kupitia kwa Emanuel Okwi akimalizia pasi ya Niyonzima. Timu zote zimeanza kwa kushambulaina huku kila mmoja akitafuta sehemu ya kutokea. Mashabiki wa Mazembe wamejitokeza kama wote kushangilia timu ya Mazembe huku wa Simba wakiwa wamejitokeza kiasi chake Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
OKWI Alivyoongoza MAZOEZI ya Kikosi cha UGANDA Leo Ikiwa yamebaki masaa machache tu kuifikia Jumapili ya Machi 24, siku ambayo timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itashuka dimbani kuumana na timu ya taifa ya Uganda, kuwani ushindi katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (AFCON)... Taifa Stars wamefanya mazoezi ya mwisho leo Machi 23, ya kujiweka sawa kuweza kuvaana na Uganda... #TZVsUGANDA https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
MAZOEZI YA SIMBA Kuivaa AS VITA/DO OR DIE Wachezaji wawili wa klabu ya Simba, mshambuliaji Emmanuel Okwi na beki Erasto Nyoni, leo wamefanya mazoezi ya pamoja katika viwanja vya Boko Veteran kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi ya AS Vita Club ya DR Congo. Okwi aliumia kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Lipuli FC ya Iringa na alikosa mchezo dhidi ya JS Saoura Ugenini huku Erasto Nyoni aliumia kwenye michuano ya Mapinduzi Cup na kukosa mechi nne za Caf Champions League hatua ya makundi. Wawili hao wanapewa nafasi kubwa ya kucheza dhidi ya AS Vita kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi ya wiki hii. Kwa mujibu wa Daktari Mkuu wa Simba, Yassin Gembe, ameeleza maendeleo yao yanaenda vizuri na jukumu linabaki kwa Mwalimu kama anaweza akawapanga kwenye mechi hiyo. #SIMBAVSASVITA #NYONI #OKWI https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho