Content removal request!


MAZOEZI YA SIMBA Kuivaa AS VITA OKWI, NYONI Wakichafua / DO OR DIE

MAZOEZI YA SIMBA Kuivaa AS VITA/DO OR DIE Wachezaji wawili wa klabu ya Simba, mshambuliaji Emmanuel Okwi na beki Erasto Nyoni, leo wamefanya mazoezi ya pamoja katika viwanja vya Boko Veteran kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi ya AS Vita Club ya DR Congo. Okwi aliumia kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Lipuli FC ya Iringa na alikosa mchezo dhidi ya JS Saoura Ugenini huku Erasto Nyoni aliumia kwenye michuano ya Mapinduzi Cup na kukosa mechi nne za Caf Champions League hatua ya makundi. Wawili hao wanapewa nafasi kubwa ya kucheza dhidi ya AS Vita kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi ya wiki hii. Kwa mujibu wa Daktari Mkuu wa Simba, Yassin Gembe, ameeleza maendeleo yao yanaenda vizuri na jukumu linabaki kwa Mwalimu kama anaweza akawapanga kwenye mechi hiyo. #SIMBAVSASVITA #NYONI #OKWI https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho