Content removal request!


KAGERA SUGAR 2-1 SIMBA SC 20/4/2019 ( KIPORO KIMECHACHIA KAITABA)

Goli pekee la EMMANUEL OKWI halikuweza kuendeleza ushindi. FT: KAGERA SUGAR 2-1 SIMBA Baada ya kipigo cha goli 2-1 toka kwa Kagera sugar siku ya leo, Simba inakuwa imepoteza mechi 2 kati ya 24 ilizocheza kwenye ligi msimu huu. Michezo hiyo ni dhidi ya Mbao FC ambapo Simba ilifungwa 1-0 pamoja na mchezo wa leo dhidi ya Kagera Sugar 2-1.