Simba SC imeipa kichapo cha mabao 6-0 Dodoma Jiji FC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la KMC, Dar es Salaam. Elie Mpanzu ndiye aliyeitanguliza Simba dakika ya 16 na kisha Jean Charles na Kibu Denis wakafunga mawili kila mmoja huku linguine likiwekwa nyavuni na Steven Desse Mukwala…
Stephane Aziz Ki amefunga #hattrick ... Yanga ikiitandika KMC mabao 6-1 kwenye dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam, ukiwa ni mchezo wa ligi kuu ya NBC. Hat-trick ya Aziz Ki imepatikana kwa penati mbili dakika za 18 na 56, huku lingine lingia nyavuni dakika ya 49. Aliyefungua mlango wa magoli ni Prince Dube dakika ya 10... huku Maxi Nzengeli na Israel Mwenda nao wakifunga dakika za majeruhi... Bao la kufutia machozi limetoka kwa Redemtus Mussa dakika ya 51. Haya hapa magoli yote...
Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa mchezo wa Mapinduzi Cup 2024 kati ya JKU SC dhidi ya Simba SC. Simba imeshinda magoli 3-1 Wafungaji ni Moses Phiri, Mohamed Hassan wa JKU akajifunga na Saleh Karabaka akaweka chuma ya tatu kwa Simba. Goli la JKU likawekwa nyavuni na Neva Kaboma.
Tazama magoli yote matatu yaliyowekwa nyavuni kwenye mchezo wa kirafiki kati ya Fountain Gate Princess dhidi ya Bunda ...
Goli la matumaini kwa Dodoma Jiji kama lilivyotiwa nyavuni na Collins Opare; Hili ni goli la tisa kwake kwenye ligi kuu msimu ...
Leo Mei 17 2023, Marumo Gallants wanamkaribisha Yanga SC kwenye Dimba la Royal Bafokeng Afrika Kusini kupepetana,ikiwa ...
Reliants Lusajo amerea nyavuni baada ya kutofunga muda mrefu, leo akifunga goli la kwanza dakika ya 21 na kuisaidia ...
Reliants Lusajo amerea nyavuni baada ya kutofunga muda mrefu, leo akifunga goli la kwanza dakika ya 21 na kuisaidia ...