Content removal request!


JKU SC 1-3 Simba SC | Highlights | Mapinduzi Cup 2024 - 01/01/2024

Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa mchezo wa Mapinduzi Cup 2024 kati ya JKU SC dhidi ya Simba SC. Simba imeshinda magoli 3-1 Wafungaji ni Moses Phiri, Mohamed Hassan wa JKU akajifunga na Saleh Karabaka akaweka chuma ya tatu kwa Simba. Goli la JKU likawekwa nyavuni na Neva Kaboma.